Diamond apata dili nono kutoka Bank of Africa(BOA) baada beleare here beleare there

Diamond apata dili nono kutoka Bank of Africa(BOA) baada beleare here beleare there

Mkuu watu kama hawa unakuta anayafuatilia maisha ya huyo Diamond kuliko hata anavyoyafuatilia maisha yake yeye mwenyewe!!
Fainali uzeeni,vijana angalieni msije kuwapa kazi watu uzeeni mwenu,

Usipoitesa akili ujanani utautesa mwili uzeeni.
Fact.....yani sijui vijana wengine wakoje aisee....mi naogopaga hata kumzungumzia diamond mbele ya watu kwa inshu za kipuuzi kama hizi......
 
Na wewe umasimama mbele ya watu na kujiita mwanaume........umekaa unatangaza kabisa et "" oya jamani ku mwanaume mwenzangu huko kapata bonge la dili,, aaahh noma sana"""

Bullshit!!!
Siyo tu kujiita mwanaume,hata bi mkubwa naweza kumchukua.
 
Back
Top Bottom