Diamond apata mapokezi makubwa Mombasa leo

Matola hana team maalum.yeye ni against diamond team.ndio maana yupo team ally kibba,team wema,team Bob junior,team penny na sasa team davido

Kuna siku niliwahi sema #matola ni bob junior mwenyewe lol 🙈 (in davido's voice) hahahaaa huwa yupo team yoyote isiyomsapoti diamond! Sometimes nafurahi sana nikisoma comments zake! Ohh God will you please keep this guy live longer!!
 
yes kapokelewa na kabebwa kwenye show na na shabiki wake jaman kenya wanamfagilia sana mond
 
Wengi wanaomchukia Almasi ni wasanii wenzake aliowapiga bao, ila moyoni wanamkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…