zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Msanii Punda hafai kushabikiwa katika maisha haya ya kitanzania, Diamond hajui na Hana kipaji simpendi na sitomshabikia hadi nakufa
kwani tangu ulivyoacha kumshabikia umempunguzia nini labda maana naona ndo kwanza matuzooo yanazidi had ana mahali pa kuyapaweka