Diamond apata mapokezi makubwa Mombasa leo

Diamond apata mapokezi makubwa Mombasa leo

Hili jina la Chibu Dangote muache kulitumia ni kuwapaisha wanaija tu, sasa tuko matawi ya juu tunataka sasa wao ndio waanze kujiita Mengi, Manji, Bakhresa and likes.

Chibu na Dekezo La Naseeb....hilo Dangote umeandika wewe....hahahaaa
 
Maana humu wengine walikuwa wananyonya wakati First lady wa Kenya Mrs Moi analimwaga huno kwenye Inde monie ndani ya uwanja wa Nyayo mpaka alfajili mke wa Rais hajarudishwa ikulu mabodigadi nao wamenogewa na sebene, Moi akatowa amri kwa Kanda Bongoman kuondoka Kenya ndani ya masaa 24.........

Unajuwa alivyotuwa bongo show yake kiingilio kilikuwa shilling ngapi? Ni shilling laki moja za Kitanzania na ticket zilikwisha, imagine kipindi hicho Rais wetu ni Mzee Mwinyi.

Hujakosea kabisaaa....kaka angu wa kwanza kazaliwa 88....you can guess my age.....hahahaaaa. ...

Ila hainizuii kumpenda Diamond..... aka Chibuuu......!

Shikamoo....though age is just a word.....
 
Attachments

  • 1418329142641.jpg
    1418329142641.jpg
    45.4 KB · Views: 200
unaweza kuta kuna mtu marinda yameshafumuka yote ukadhani anageuzwa kumbe lah!! anakazi ya ku.nya mafenesi kila asikiapo daimond anasonga mbele badala ya kurudi nyuma unajua huyo mtu ni nani Matola na utaendelea ku.nya mafenisi maisha yako yote.

uwiiii uwii.....
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa ni hatari yaniii....
 
Last edited by a moderator:
hamkuona video msafara wa diamond ulikuwa na gari la polisi moja mbele lingine nyuma
 
hamkuona video msafara wa diamond ulikuwa na gari la polisi moja mbele lingine nyuma

Atleast kuna sura nikiziona humu huwa nadhani kuna vitu vikubwa vya kujadiri kuliko hizi sifa za marehemu.

Tanzania sasa hivi ukitaka escort ya polisi unalipia bila shida sembuse nchi ya kibepari kama Kenya.
 
ila hizo zote ni mbinu za promo aonekane expensive.
Diamond anatumia mbinu yoyote avute attention,scandal za mapenzi na bifu za kijinga,i'm sure hawatafanya collabo tena davido maana kashaonyesha rangi yake,nahisi next kufanya naye collabo atakuwa Ipupa.
 
Maana humu wengine walikuwa wananyonya wakati First lady wa Kenya Mrs Moi analimwaga huno kwenye Inde monie ndani ya uwanja wa Nyayo mpaka alfajili mke wa Rais hajarudishwa ikulu mabodigadi nao wamenogewa na sebene, Moi akatowa amri kwa Kanda Bongoman kuondoka Kenya ndani ya masaa 24.........

Unajuwa alivyotuwa bongo show yake kiingilio kilikuwa shilling ngapi? Ni shilling laki moja za Kitanzania na ticket zilikwisha, imagine kipindi hicho Rais wetu ni Mzee Mwinyi.

Stori za kitooto. Ushamba mwingine mzigo.
 
hahahahaaaa thats only you can say, comment yako inaonesha wazi huna jipya, na nimeshakuover dose, unachoweza kufanya ni kunywa maji mengi upate nguvu ya kuamka kesho, wajitia mjuzi wa maneno hapa umefika kugoma mwisho wa reli. na kuna pahala umeingia chaka, nilipapotezea lakini sasa ngoja nipatafute, nikutoe ushamba peupeeee mwana mtoka pabaya wewe, usiyejua baya na zuri.

Hahahaaa Pula Weeee. ndo maana nakupenda ndembe ndembe......
Ile mitusi wanayomwaga wao ni kwa sababu wamelelewa vizuri.....Wakiambiwa wanye maboga wanaaumiaaa.....
Hahahaaaa watu wana ashki majinuuni humuuuuu......!

Hata mkinuna bakora zipo palepaleeee.......Chibu juuuu.....!!!!
 
Hawa mashabiki maandazi wa Diamond wanahitaji maombezi na English course.

Ona hapa Davido anamtakia heri ya kuzaliwa mtu wake na vitimbakwiri vya Tandale wanavyokosa ustaarabu kwenye mambo binafsi ya Davido. Ni aibu natamani kucomment lakini naona aibu maana huwa sicomment chochote Insta.

unavyomchamba mwenzio kuwa kaweka wrong comment to wrong post, weweje ulichokipost hapa kinahusiana na mada???? au ndio kujishauwa tu ili na wewe uonekane unajua ku screen shot??? hujielewi hujitambui wajitia kuwakosoa wenzio, usaidiweje labda??? hapa tunaongelea mapokezi ya almas mipasho ya insta umeifikishaje hapa??? inahuuu????

kama kweli unajitambua si ungewapa habari yao hukohuko insta???? matola pita hivi wewe acha kushobokea habari za daimond weweeee zitakutia uchizi bureee wee endelea na mpango wako wa kutengeneza T- shirt ndio uliwezalo, hapa kwa platnumz utasandaaaaaa!!!!
 
Mashabiki wa Diamond na Mashabiki wa Wema akili zao zinafanana sana kwani upeo wao ni mdogo sana leo nitataja aina ya mashabiki wa watu hawa au sifa zao ni kama ifuatavo
1. Ni watu wasio na exposure
2. Ni watu ambao upeo wao kifikra upo chini au kwa lugha nyingine sio watoto wa mjini
3. Wengi wao wamelelewa bila maadili ktk jamii zao na ndio hao hufurahia uvunjaji wa maadili wa Diamond ktk jamii na huchekea na kufurahia upuuzi
4.Mashabiki wa Diamond na Wema wengi wao katika mapato yao binafsi ni shida.
 
Back
Top Bottom