Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Hawa mashabiki maandazi wa Diamond wanahitaji maombezi na English course.
Ona hapa Davido anamtakia heri ya kuzaliwa mtu wake na vitimbakwiri vya Tandale wanavyokosa ustaarabu kwenye mambo binafsi ya Davido. Ni aibu natamani kucomment lakini naona aibu maana huwa sicomment chochote Insta.
Matola hapo napingana na wewe,sio kila anae mtukana davido ni shabiki wa diamond uzuri ni kua jf tunatumia id fake ingekua tunatumia id zinazo fanana na instagram ungejionea ni watu gani wanao tukana kule hii haina haja ya maelezo kuna watu wanachochea kwa makusudi ili diamond achukiwe na wanaija pia wapo wanao tukana kwa kufuata mkumbo yote yanawezekana......by the way heshimu maamuzi wenzako una haja gani kumuita mtu shabiki maandazi kisa ni fan wa diamond ilhali nafsi yake ndio ime amua awe shabiki wa msanii huyo,we ni muelewa tumia uelewa wako kuelewa na kuheshimu wengine.
Last edited by a moderator: