Diamond apata mapokezi makubwa Mombasa leo

Hawa mashabiki maandazi wa Diamond wanahitaji maombezi na English course.

Ona hapa Davido anamtakia heri ya kuzaliwa mtu wake na vitimbakwiri vya Tandale wanavyokosa ustaarabu kwenye mambo binafsi ya Davido. Ni aibu natamani kucomment lakini naona aibu maana huwa sicomment chochote Insta.

Matola hapo napingana na wewe,sio kila anae mtukana davido ni shabiki wa diamond uzuri ni kua jf tunatumia id fake ingekua tunatumia id zinazo fanana na instagram ungejionea ni watu gani wanao tukana kule hii haina haja ya maelezo kuna watu wanachochea kwa makusudi ili diamond achukiwe na wanaija pia wapo wanao tukana kwa kufuata mkumbo yote yanawezekana......by the way heshimu maamuzi wenzako una haja gani kumuita mtu shabiki maandazi kisa ni fan wa diamond ilhali nafsi yake ndio ime amua awe shabiki wa msanii huyo,we ni muelewa tumia uelewa wako kuelewa na kuheshimu wengine.
 
Last edited by a moderator:
Hii picha kila thread ni kuishiwa hoja ama Mpwa

Kwa maoni yako....

Ila sikuona umuhimu wa kuanzisha thread mpya kutoa dukukudu langu kwamba kinachofanywa na baadhi ya Watanzania kwenye maisha binafsi ya Davido ni ulimbukeni na ujuha kupita maelezo na kama wewe binafsi huoni hoja hapo basi ni mushkeli.
 
Moderator hizi thread zinazo muhusu diamond unganisheni na thread ya "diamond fans special thread".
 
Last edited by a moderator:
Matola hapo napingana na wewe,sio kila anae mtukana davido ni shabiki wa diamond uzuri ni kua jf tunatumia id fake ingekua tunatumia id zinazo fanana na instagram ungejionea ni watu gani wanao tukana kule hii haina haja ya maelezo kuna watu wanachochea kwa makusudi ili diamond achukiwe na wanaija pia wapo wanao tukana kwa kufuata mkumbo yote yanawezekana......by the way heshimu maamuzi wenzako una haja gani kumuita mtu shabiki maandazi kisa ni fan wa diamond ilhali nafsi yake ndio ime amua awe shabiki wa msanii huyo,we ni muelewa tumia uelewa wako kuelewa na kuheshimu wengine.

Yo have some point.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maoni yako....

Ila sikuona umuhimu wa kuanzisha thread mpya kutoa dukukudu langu kwamba kinachofanywa na baadhi ya Watanzania kwenye maisha binafsi ya Davido ni ulimbukeni na ujuha kupita maelezo na kama wewe binafsi huoni hoja hapo basi ni mushkeli.

Kwani lazima uipost mara nne nne mpwa..... that was my point

Siungani wala sipendi watu wanavyotukana kule... huwa wananichosha tu
 
Wenzako washazoea ubungo terminal wanaingia hadi na kunguni na mende.....

Maneno ya kienyeji kama haya wala hayana msaada zaidi ya kujifurahisha tu.

Kenya na Tanzania hakuna wa kuvunja rekodi ya kanda Bongoman mpaka kesho. Sijui hata kama utanielewa.
 
Hahahahahahaa uwiiiiiiii Matola wewe ni sheeedah jamani!
 
Last edited by a moderator:
Maneno ya kienyeji kama haya wala hayana msaada zaidi ya kujifurahisha tu.

Kenya na Tanzania hakuna wa kuvunja rekodi ya kanda Bongoman mpaka kesho. Sijui hata kama utanielewa.

Me namzungumzia Chibuu kumbe we unafanya comparison..... ngoja nikarareeeeee.....
 
Hahahahahahaa uwiiiiiiii Matola wewe ni sheeedah jamani!

Maana humu wengine walikuwa wananyonya wakati First lady wa Kenya Mrs Moi analimwaga huno kwenye Inde monie ndani ya uwanja wa Nyayo mpaka alfajili mke wa Rais hajarudishwa ikulu mabodigadi nao wamenogewa na sebene, Moi akatowa amri kwa Kanda Bongoman kuondoka Kenya ndani ya masaa 24.........

Unajuwa alivyotuwa bongo show yake kiingilio kilikuwa shilling ngapi? Ni shilling laki moja za Kitanzania na ticket zilikwisha, imagine kipindi hicho Rais wetu ni Mzee Mwinyi.
 
Hahaha...shikamoo
 
Me namzungumzia Chibuu kumbe we unafanya comparison..... ngoja nikarareeeeee.....

Hili jina la Chibu Dangote muache kulitumia ni kuwapaisha wanaija tu, sasa tuko matawi ya juu tunataka sasa wao ndio waanze kujiita Mengi, Manji, Bakhresa and likes.
 
Hahahaaaaa......Inaitwa usiyempenda ndo yuko juu....kama hutaki jinyeee.....

unaweza kuta kuna mtu marinda yameshafumuka yote ukadhani anageuzwa kumbe lah!! anakazi ya ku.nya mafenesi kila asikiapo daimond anasonga mbele badala ya kurudi nyuma unajua huyo mtu ni nani Matola na utaendelea ku.nya mafenisi maisha yako yote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom