Matola weka basi hizo comments?
Hapa naona post tu.
Matola ni golddigger, hana lolote
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matola weka basi hizo comments?
Hapa naona post tu.
Mapokezi yalikuwa nje, hizo picha zimepigwa ndani ya airport, huwezi ona umati wa watu ndani
Matola ni golddigger, hana lolote
Mr Nice in Kigali.
Basi wekeni za huo umati tuone.
Tanzania1 anasema we (including you Nifah)
A lot of craap u can read ya self siwezi kuweka comment zote hapa.
Mr Nice in Kigali.
Sikujua kama leo ni birthday ya Diamond..............Asante sana kwa taarifa :sad::sad::becky::becky::becky:Hawa mashabiki maandazi wa Diamond wanahitaji maombezi na English course.
Ona hapa Davido anamtakia heri ya kuzaliwa mtu wake na vitimbakwiri vya Tandale wanavyokosa ustaarabu kwenye mambo binafsi ya Davido. Ni aibu natamani kucomment lakini naona aibu maana huwa sicomment chochote Insta.
Alikua nomer!!Mr Nice in Kigali.
Tanzania 1 katisha meen,bora huyo anaongea point sio hao wajinga wanaotukana.
Diampnd ndio mtanzania maarufu.kupita wote duniani
Hapo ni airport ,ulitaka watu wajazane.kama wako ukumbini? umasikini wako hasira unazihamishia kwa diamond. Fanya kazi acha kushinda mitandaoni 24/7 .
Hahahahahaaa!Hadi nyerere anakaa kwa diamond?
Utani wa ngumi huu!!
Sio ugomvi jamani, inapobidi tuseme ukweli sidhani kama kuna msanii mwingine East Africa anaweza kupokelewa hivyo Airport.
Kibaruwa cha kujitakia, ona hapa chini.
Yeh ukienda. .. kongo maeneo ya kivu kuna madogo hawamjui nyerere ... wao wanamjua platnumz tu.