Diamond apewa ardhi ya kuishi nchini Kenya

I doubt kama unafahamu ukubwa wa robo eka as a residential place!

Hivi unafahamu kwamba robo eka is for low density residential area unayowea kujenga nyumba mbili za maana na eneo likabaki!
HAjui vipumo vyake, na thamani yake kwa sehemu kam kenya na hasa nairobi
 
Ruge anamtumia Shonza kumharibia dogo Watanzania bure kabsa hongera Diamond, watapambana tu but muda ndiyo mwalimu mzuri.
ruge na shonza ni vimchwa vidogo sana ..wanajisumbua kwa huyu jamaa ngoja aende kumtembelea rais wa dar kila kitu kitasawazishwa
 
I doubt kama unafahamu ukubwa wa robo eka as a residential place!

Hivi unafahamu kwamba robo eka is for low density residential area unayowea kujenga nyumba mbili za maana na eneo likabaki!
hao wanajibu kwa kuhamaki maybe kutokana na chuki kali kwa jamaa kama unavyojua baadhi ya wabongo ni wachawi sema hamna vifaa tu
 
Naaam.....
 
Hawa wamezoea kukatiwabshamba la mtu. Unajenga na kubakiza sehemu ya matuta ya viazi vitamu vya chai asubuhi
Unajua robo heka ni mita ngapi za mraba au unaongea tu ni robo heka gani uliosema kwamba mtu unajenga mansion(Hekalu)hamkawii kusema nina wivu wa kike wakati mi nimechangia mada kwa maono yangu
 
Unajua robo heka ni mita ngapi za mraba au unaongea tu ni robo heka gani uliosema kwamba mtu unajenga mansion(Hekalu)hamkawii kusema nina wivu wa kike wakati mi nimechangia mada kwa maono yangu
Uneshawahi kuona town mansions za sikuhizi za Ulaya, wana design with limited space kitu kinasimama
 
Robo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu
Mkuu kumiliki ardhi kenya sio bahati nasibu mkuu kenya ardhi ni chache sanaa na haimilikiwi na serikali kama uku tz.
 
Huyu jamaa namshauri aweke base Kenya,
huko anakubalika kuliko nchi zote za EA
Tz awe anakuja kutembea tu
 
Kenya wana mlilia uku kwetu ndo kwanza wana angaika kufungia nyimbo zake[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nd shida ya kua na viwaziri vi dem si kali nyimwa MB
Asee huyu Dada Mtafuta Kiki kinoma..hadi anaboa
 
kwa kenya robo heka ni ardhi kubwa sana huwezi kuelewa mpaka wajuvi tunaoijua kenya kinaga ubaga tukufafanulie.
Huyo anawivu wa kike istoshe hajui ardhi kenya thamani yke ni mara tatu ya ardhi yetu,wakenya wenye uwezo ndio wamejenga mijini waliobaki kijijini
 
we jamaa unaandikaga nothing
 
Huyu jamaa namshauri aweke base Kenya,
huko anakubalika kuliko nchi zote za EA
Tz awe anakuja kutembea tu
Wakenya unawajua ??

- Ray C aliweka akarudi amebuma.
- Top Band waliweka wakarudi wamebuma.
- Hussein Machozi aliweka akarudi amebuma
- Baby Madaha aliweka akarudi amebuma.

Kenya ni sehemu ambayo wasanii huwa wanakimbilia baada ya kubuma Tanzania, ni sawa na Msanii wa Marekani kuanza kufanya shows Africa baada ya kubuma USA/EUROPE !
 
Bado Ali kiba kupewa ardhi kule DRC Congo. [emoji23] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Bado Ali kiba kupewa ardhi kule DRC Congo. [emoji23] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…