Diamond apewa ardhi ya kuishi nchini Kenya

Kwahyo unataka kuifananisha akili kubwa ya diamond na akina Ray c wabwia unga..!!! Akina Hussein machozi kina baby madaha!!!! Are you serious???
 
Kwahyo unataka kuifananisha akili kubwa ya diamond na akina Ray c wabwia unga..!!! Akina Hussein machozi kina baby madaha!!!! Are you serious???
Mpe dadako basi, mzee wa kuwaf**ra
 
najiuliza tu,hivi Kenya hakuna sheria kma za hapa kwetu zinazomnyima mtu asiyekuwa raia (non citizen) haki ya kumiliki ardhi?! naona kama imekuwa rahic sna kwa diamond au lbd kapewa km investment area?

Wajuzi naomba mnijuze sheria za kenya zinasemaje kuhusu umiliki wa ardhi kwa asiyekuwa raia?
 
Hivi akitoa video huko kenya isiyo na maadili Tanzania wanaweza kumfungia?

bongo kutoka ni ngumu sana kama huna chuma mkononi huwezi kutoka kirahisi.
 
Robo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu

Kwani hapa Bongo nyumba anayoishi aliijenga kwenye ekari ngapi?
 
Watashindana nawe lakini hawatakushinda.
Niombee basi na mimi mtani wangu..mabaraka ya Maulana.
 
Nabii hakubaliki home mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguliwa goo baba tee
 
Wanyama alipewa mtaa huku ikawa nongwa, hivi yale yaliishaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…