Diamond apewa ardhi ya kuishi nchini Kenya

Diamond apewa ardhi ya kuishi nchini Kenya

Wakenya unawajua ??

- Ray C aliweka akarudi amebuma.
- Top Band waliweka wakarudi wamebuma.
- Hussein Machozi aliweka akarudi amebuma
- Baby Madaha aliweka akarudi amebuma.

Kenya ni sehemu ambayo wasanii huwa wanakimbilia baada ya kubuma Tanzania, ni sawa na Msanii wa Marekani kuanza kufanya shows Africa baada ya kubuma USA/EUROPE !
Kwahyo unataka kuifananisha akili kubwa ya diamond na akina Ray c wabwia unga..!!! Akina Hussein machozi kina baby madaha!!!! Are you serious???
 
Kwahyo unataka kuifananisha akili kubwa ya diamond na akina Ray c wabwia unga..!!! Akina Hussein machozi kina baby madaha!!!! Are you serious???
Mpe dadako basi, mzee wa kuwaf**ra
 
najiuliza tu,hivi Kenya hakuna sheria kma za hapa kwetu zinazomnyima mtu asiyekuwa raia (non citizen) haki ya kumiliki ardhi?! naona kama imekuwa rahic sna kwa diamond au lbd kapewa km investment area?

Wajuzi naomba mnijuze sheria za kenya zinasemaje kuhusu umiliki wa ardhi kwa asiyekuwa raia?
 
Hivi akitoa video huko kenya isiyo na maadili Tanzania wanaweza kumfungia?

bongo kutoka ni ngumu sana kama huna chuma mkononi huwezi kutoka kirahisi.
 
Narudia tena kusema huyu ' Jamaa ' mtamsema, mtamtusi na kumdhihaki kadri muwezavyo ila matunda ya Kazi zake, Kujituma Kwake, Kuwa mbunifu na Kujipanda ndiko kila siku kunamweka na bado kutamweka Kileleni Kimafanikio. Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) anatupa ' Funzo ' zuri na kubwa sana akina Sisi wenye ' akili kulala ' au ' akili mlegezo ' kama si ' akili goigoi ' kupambana na kutokata tamaa katika kuyatafuta mafanikio ya kweli.

Namuombea kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) mafanikio zaidi na hakuna Siku ambayo nimewahi kumuombe Mtu ' baraka ' kwa Mwenyezi Mungu na asinijibie Kwake hivyo naamini Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) atazidi kuwa juu na juu na Sisi wengine tusichoke kumchukia, kumteta, kumdharau na kumzushia kwani yawezekana hii roho mbaya Yetu Kwake basi Maulana ndiyo anaigeuza kuwa Shani na Baraka Kwake.
Watashindana nawe lakini hawatakushinda.
Niombee basi na mimi mtani wangu..mabaraka ya Maulana.
 
Nabii hakubaliki home mlango mmoja ukifungwa mwingine unafunguliwa goo baba tee
 
Wanyama alipewa mtaa huku ikawa nongwa, hivi yale yaliishaje?
 
Back
Top Bottom