Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Vichekesho kama hvi vipo mtandao gani?Ali kiba na yeye kapewa ardhi Marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vichekesho kama hvi vipo mtandao gani?Ali kiba na yeye kapewa ardhi Marekani
Hardworking..truly jama kazaliwa na bahati
Yategemea location yake mkuu. Imagine amepata eneo la upper hillsRobo heka nayo ni ardhi ya kukaa star!garden,parking,swimming pool,courts au ndio bora kitu kuliko kukosa kitu
Naamini HE Joho hatamuacha mikono mitupuWapi team Kiba?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Good comment....nakubaliana nawe mia kwa miaNarudia tena kusema huyu ' Jamaa ' mtamsema, mtamtusi na kumdhihaki kadri muwezavyo ila matunda ya Kazi zake, Kujituma Kwake, Kuwa mbunifu na Kujipanda ndiko kila siku kunamweka na bado kutamweka Kileleni Kimafanikio. Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) anatupa ' Funzo ' zuri na kubwa sana akina Sisi wenye ' akili kulala ' au ' akili mlegezo ' kama si ' akili goigoi ' kupambana na kutokata tamaa katika kuyatafuta mafanikio ya kweli.
Namuombea kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) mafanikio zaidi na hakuna Siku ambayo nimewahi kumuombe Mtu ' baraka ' kwa Mwenyezi Mungu na asinijibie Kwake hivyo naamini Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) atazidi kuwa juu na juu na Sisi wengine tusichoke kumchukia, kumteta, kumdharau na kumzushia kwani yawezekana hii roho mbaya Yetu Kwake basi Maulana ndiyo anaigeuza kuwa Shani na Baraka Kwake.
Unachosema ni kweli asee maana hata Tundu Lissu na Akwilina walikula marisasi huko huko Kenya. Diamond kuwa makini.Asisahau Kenya sometimes kunawaka marisasi so sio nchi ya kupeleka kundu lako n kulikalisha ovyo ovyo ....utakula marisasi time za general election.... Tanzania nzuri jmn ohooooooo
Hata Ben Saanane kapotelea KenyaAsisahau Kenya sometimes kunawaka marisasi so sio nchi ya kupeleka kundu lako n kulikalisha ovyo ovyo ....utakula marisasi time za general election.... Tanzania nzuri jmn ohooooooo
Kumbuka marisasi za Kenya ziliua watu wengi sana,it was civil war ,sio kama hyo ya lissu na akwilina.....Unachosema ni kweli asee maana hata Tundu Lissu na Akwilina walikula marisasi huko huko Kenya. Diamond kuwa makini.
Nyie ropokeni tu...sjui mmeshiba pilau LA Jana.....mnafikiri vita ya Kenya inauaga MTU mmoja et?? N thousands of people collapse,n mass genocide.....angalieni na matakwimu jmn....Kenya akafanye business ila kuchukua uraia hapana kabisa....atachuta one dayHata Ben Saanane kapotelea Kenya
Umajiona unajua sana kuliko sisi?Nyie ropokeni tu...sjui mmeshiba pilau LA Jana.....mnafikiri vita ya Kenya inauaga MTU mmoja et?? N thousands of people collapse,n mass genocide.....angalieni na matakwimu jmn....Kenya akafanye business ila kuchukua uraia hapana kabisa....atachuta one day
Sijasema HVO popote pale ila kama akili yako imewaza hvyo basi huenda umekubali kuwa Nina akili nying kulko wew[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umajiona unajua sana kuliko sisi?
Tanzania ni nchi ambayo ina msimamo na maadili yake kitamaduni. Kutii na kuheshimu sheria ni moja ya msingi wa maisha watanzania lazima tuzingatie. Hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria na maadili yetu ya utamaduni wa maisha lazima yafuatwe, yadumishwe na kuimarishwa. Kama kuna mtu anafikiri anaweza kutumia bahati ya umaarufu wake kuli-undermine taifa letu kwa kukebei sheria zetu basi naomba huyo mtu aende na umaarufu wake kuishi huko anakofikiri anaweza kufanya upuuzi huo anao utaka kuufanya.Narudia tena kusema huyu ' Jamaa ' mtamsema, mtamtusi na kumdhihaki kadri muwezavyo ila matunda ya Kazi zake, Kujituma Kwake, Kuwa mbunifu na Kujipanda ndiko kila siku kunamweka na bado kutamweka Kileleni Kimafanikio. Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) anatupa ' Funzo ' zuri na kubwa sana akina Sisi wenye ' akili kulala ' au ' akili mlegezo ' kama si ' akili goigoi ' kupambana na kutokata tamaa katika kuyatafuta mafanikio ya kweli.
Namuombea kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) mafanikio zaidi na hakuna Siku ambayo nimewahi kumuombe Mtu ' baraka ' kwa Mwenyezi Mungu na asinijibie Kwake hivyo naamini Nasib Abdul ( Diamond Platinumz ) atazidi kuwa juu na juu na Sisi wengine tusichoke kumchukia, kumteta, kumdharau na kumzushia kwani yawezekana hii roho mbaya Yetu Kwake basi Maulana ndiyo anaigeuza kuwa Shani na Baraka Kwake.