Wewe unajuaje haswa kila anayetengeneza pesa hasali au sio mtu wa kumuamini Mungu au kumuabudu n.k.
Kama wewe unajua kujaji ya watu, humu unashinda unafanya nini, why usichukue muda unaoweka humu kusoma biblia au kulitangaza tu neno la bwana?
Nasema hivi...wewe upo upande gani na hauonyeshi hata kidunchu kuwa unayoandika ndivyo ulivyp...unajulikana kwa kushinda jf tu...
Acha watu waishi kivyao, pesa zao, hukumu kila mtu atabeba mzigo wake... Ila upunguze kila unapoona msaka pesa anamaendeleo unaleta ya Mungu... Mwishowe unaishia kuonekana ka umejaa wivu na wanaosaka pesa kwa jasho lao...yaani sio za kuiba.
Bora uombee watu na sio kujaji ka vile unawajua hadi kwenye roho zao.. na wewe kuonyesha mfano huo ati unasemaje mshinda jf? Na ID ya zamani nayo bado unaitumia?