Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26.
Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na ku-post video hii na ujumbe huu; "So proud of you broskizo, i think i have learn more about showbiz nawaza zime paa au simeogelea your very serious about really wanna meet you today big love!"
Soma, Pia