Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade Zanzibar kwa matumizi ya Tuzo za Trace. Harmonize adata na showbiz za Diamond

Safi sana kijana Diamond, anaendelea kuhamasisha vijana wa kitanzania tupambane kutafuta pesa
Kikombe alicho kinywea utakiweza?
Kuna baba zako pale keko wanapiga kazi za fanicha 12/7 toka hujazaliwa Hadi Leo, hawajamudu japo Coaster mpya ya 70M
 
Sawa sawa
 
sasa hapo ishu kubwa ni nini? kwani kuna ukubwa gani wa gharama kwenye kusafirisha hizo gai mpaka zenj mpaka ndio ionekanwe gumzo?
 
sasa hapo ishu kubwa ni nini? kwani kuna ukubwa gani wa gharama kwenye kusafirisha hizo gai mpaka zenj mpaka ndio ionekanwe gumzo?
Hata kuzimiliki I presume unaona ni kitu kidogo sana let alone kumudu running costs, huko TZ these days vijana mna hela sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…