Diamond asema nimesitisha kupeleka matumizi ya watoto South

Kwa nini hakutumia 'ndom'? huu usumbufu na habari za kijinga usingekuwepo
 
Pesa kwa ajili ya Nani? Unatakiwa kuniuliza kabla hujatuma, ule sio msaada Ni jukumu lako Kama unavyojinunulia chakula

Tatizo wengi kutoa matumizi mnachukulia Kama kutoa msaada mtu mpaka ajikombe
Yani unizuie kuongea na wanangu halafu bado nikutumie pesa labda niwe na kichaa. Situmi
 
maisha ya pithole country,wazazi wanapokuwa hawana uhusiano (talaka,wameachana etc etc)jukumu la baba kulea watoto wake lipo pale pale na aelewe watoto wake wapo kwenye nchi inayojielewa,mzazi mwenzake akikimbilia mahakamani na kufungua kesi ya matunzo kwa watoto kwenye mahakama maalum(maintenance court)na akashinda hii kesi kuna hatari ya garnishee kuwekwa dhidi ya mali zake,please Mr.Nasibu Abdul Juma issue hii inahitaji busara sio hasira,SA sio kama Tanzania ,wewe sio unayeamua na kama una nia ya kuwaona watoto wako approach court ikusaidie na wewe una uwezo to hire a top lawyer to take your case forward.for the time being endelea kulipa hiyo cent kwa watoto wako(its just under 29,000ZAR) ni fedha ndogo sana kwa kulea watoto wawili ughaibuni.act quickly before its too late.
 
Wacha huzo Za babako.Tuma matumizi Kwa watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…