Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msanii diamond platnumz amekiri anamiezi zaidi ya 3 hajatuma matumizi ya watoto wake South kwakuwa mzazi mwenzake Zari haonyeshi ushirikina wa kumpa kuongea na watoto wake Tiffah na Nillan.
Anasema mwazo alikuwa anatuma dola 2000 kwa mwezi lakini ameacha hata tuma tenaView attachment 1079775
Nyumba si yake mkuuAkipewa nafasi mara kaenda na mitakataka mle ndani sijui jumachokole,sijui madubwasha gani mpk vimada wa mamayake aisee ushamba mzigo sana.
Hapana mkuu, huyo zari naye ana tatizo kama kagombana na diamond kwann awaingize watoto ? Inaonyesha zari bado anamtaka diamondNonsense sasa hapa anawakomoa watoto au Zari? Hayo matumizi anayotuma ni kwa ajili ya ya watoto wake mwenyewe sasa shaka la kwamba Zari hapokei simu zake ndio iwe sababu ya kuto support kids wake mwenyewe? Namna hii huko mbeleni watoto wakishakuwa wakubwa si ndio hawatataka hata kusikia jina la Baba yao kama ilivyo yeye na Baba yake? Kutopeleka $2,000 kwa Zari kwa ajili ya child support hiyo kwa Zari sio issue course hana njaa can support watoto wake wote bila shida yoyote
Mi ata kwa bure siichukui labda niongezee na helaNchi hii imenishinda, naigawa bure tu.
Na wale mnaowafungia hiyo mirija ya posho huwa wanafanikiwa sanaShida ya kina mama wengi unapogombana naye atajitahidi kukuweka mbali na wanao kama adhabu.Sasa sisi wanaume katika kikao chetu cha jana tumekubaliana ukiona mtalaka wako anakutenga na wanao kama adhabu basi unafunga mirija ya posho unatafuta watoto wengine.
Shida ya kina mama wengi unapogombana naye atajitahidi kukuweka mbali na wanao kama adhabu.Sasa sisi wanaume katika kikao chetu cha jana tumekubaliana ukiona mtalaka wako anakutenga na wanao kama adhabu basi unafunga mirija ya posho unatafuta watoto wengine.
Halafu Baada ya 20 yrs wanakuwa matonya watoto hawapumui mizingaBaba unanyimwa vipi mtoto wako , mnatelekeza watoto kwa kisingizio cha mama zao wanewanyima
Na wale mnaowafungia hiyo mirija ya posho huwa wanafanikiwa sana
Pesa kwa ajili ya Nani? Unatakiwa kuniuliza kabla hujatuma, ule sio msaada Ni jukumu lako Kama unavyojinunulia chakula
Tatizo wengi kutoa matumizi mnachukulia Kama kutoa msaada mtu mpaka ajikombe
Ingekuwa watoto ni wake angeruhusiwa kuongea nao labda siyo wake tutajuaje?Sio vizuri. Atume pesa Kwa watoto. Ni wake