Diamond asema nimesitisha kupeleka matumizi ya watoto South

Mond try to keep your family matters personal
 
Pesa kwa ajili ya Nani? Unatakiwa kuniuliza kabla hujatuma, ule sio msaada Ni jukumu lako Kama unavyojinunulia chakula

Tatizo wengi kutoa matumizi mnachukulia Kama kutoa msaada mtu mpaka ajikombe
Nimekambia kama hauruhusu niongee na watoto situmi .dawa ya kiburi ni jeuri
 
Inatuhusu nini SASA Sisi??
 
Diamond ni muongo, interview yake alikua anajikanyaga kanyaga, hajawahi tuma child support ni muongo, anamsingizia zari kua hatoi ushirikiano Hapo hapo ansema zari ana mawasiliano mazuri na mama dangote si Angempa mama dangote hela atume
 
Yani unizuie kuongea na wanangu halafu bado nikutumie pesa labda niwe na kichaa. Situmi

Hajazuiwa aliomba number communication akapewa number ya mtoto mkubwa wa zari, he ended up blocking this innocent child kwa sababu they were sending him text ili aongee na wakina Tiffa
 
Diamond ni muongo, interview yake alikua anajikanyaga kanyaga, hajawahi tuma child support ni muongo, anamsingizia zari kua hatoi ushirikiano Hapo hapo ansema zari ana mawasiliano mazuri na mama dangote si Angempa mama dangote hela atume
Weee ishia hapohapo, yani ampe mama dangote $2000 za kina Tiffa ili hali anajua kabisa mume wa mama yake ni tapeli?
 
Muda mchache mambo mengi, bado tunatafakari namna ya kusajili line na vitambulisho huyo nae anatuhadithia familia yke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…