Naunga mkono hoja. Kama baba ananunuliwa dukani waende wakanunue shwaiin kabisaShida ya kina mama wengi unapogombana naye atajitahidi kukuweka mbali na wanao kama adhabu.Sasa sisi wanaume katika kikao chetu cha jana tumekubaliana ukiona mtalaka wako anakutenga na wanao kama adhabu basi unafunga mirija ya posho unatafuta watoto wengine.
Diamond hawezi kufulia kesho wala kesho kutwa acha kuota.Kashaaza kufulia tutasikia mengi siku zijazo
Yani kama mpaka leo unaishi kwa kutegemea msaada wa mwanao wewe zaidi ya mjinga.Kwanza watoto wa sasa hivi ndio wanatupiga mizinga hata wakiwa wameshaoaHalafu Baada ya 20 yrs wanakuwa matonya watoto hawapumui mizinga
Akipata hiyo posho amsaidie mama yake na ndugu zake wengine.Na wale mnaowafungia hiyo mirija ya posho huwa wanafanikiwa sana
Mwingine akikusoma fasta hapa anaweza jua unaongelea South ya Kigamboni.Ile nyumba si ya kwake? Wale watoto si wa kwake? Kwa nini hasiende huko South kuwasalimia badala ya kukomaa aongee nao kwenye simu ?