Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mbona kupika nacho ni kipaji, haumuoni g.ramsey wa mapishiKwa kweli Usanii ni mzigo wa miba nashukuru Mungu hakunipa kipaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kupika nacho ni kipaji, haumuoni g.ramsey wa mapishiKwa kweli Usanii ni mzigo wa miba nashukuru Mungu hakunipa kipaji
Nazungumzia Usanii wa uigizaji na uimbaji yaani unaishi kwa mawazo badala ya furaha.Mbona kupika nacho ni kipaji, haumuoni g.ramsey wa mapishi
Yeah, kidogo angalau wa nchi za wenzetu, japo na wao presha wanaipata Kama👉kuuana kutokana na mabifuNazungumzia Usanii wa uigizaji na uimbaji yaani unaishi kwa mawazo badala ya furaha.
Showbiz ina tactics nyingi na hakuna mtu anayeacha kusikiliza nyimbo nzuri eti kwa sababu watu wameacha au wameoana au wamepigana au wameibiana whatsoever, kila artist anaweza ku-shine alimradi atoe kazi nzuri.Hawa watu Wana roho mbaya Sana...yaani hii story wanaileta kipindi mwenzao Katoa wimbo Ili kuzima trend.
Hawa siku wasafi ikifikia ukubwa wa clouds wasanii wataumia Sana..hawa Jamaa hawana upendo kwa msanii yeyote wasiyenufaika nae .hawana Nia njema na bongo fleva...
Hawataki msanii yeyote asikike.na ndio maana msanii akitoa kazi nao watatoa kazi au kuhakikisha hasikiki..ni muda wa wasanii kujiunga na kupambanana na huu ujinga kama walivyopambana na clouds
Wanabadirishana mate au wananyonyana mate? Emu nyoosha maelezo vizuri,Kwa kweli kuna video niliona wana badilishana mate yule binti hana akili kama katumika kwa Kiki ya kijinga vile.
Kashapigwa dudu alafu sasa imegeuzwa kiki au sio?Kwani hawa walikua wapenziii ? Mbna ilifahamika tangu mda ni kiki tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kweli kabisa halafu huwa tunaambiwa eti kina barrack obama, Jay z, Beyonce, Kanye West, 50 Cent, Diddy na wengine wengi ni ILLUMINATE kumbe huwa wanatudanganya tu.Illuminate huwa hawaoi na kama alioa kabla ya kuingia agano na lucifer huyo mke lazima wamnywe supu. Hapo kamchezea dada wa watu sasa anataka boya lijichanganye.
@cocastic is mirindastic?Kwani hawa walikua wapenziii ? Mbna ilifahamika tangu mda ni kiki tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikua kiki ya kujipaisha na kuzungumziwa mda wote mjiniKashapigwa dudu alafu sasa imegeuzwa kiki au sio?
Novidastic@cocastic is mirindastic?
Wasiwaleteeni uhuni. Huyu almasi hajagonga hiyo ngoma? Mtu anazaa tu haoi nani anaweza kumuamini😎Mwanamziki aliyefanikiwa zaidi Tanzania, Diamond Platnum aka Simba ameweka wazi kuwa yeye Zuchu ni dada na kaka na sio wapenzi kama wengi walivyokuwa wanafikiria au kujua.
Kupitia insta story ameshea ujumbe huo kwa mashabiki wake.
View attachment 2521986