Diamond asema yeye na Zuchu ni dada na kaka

Hawa watu Wana roho mbaya Sana...yaani hii story wanaileta kipindi mwenzao Katoa wimbo Ili kuzima trend.
Hawa siku wasafi ikifikia ukubwa wa clouds wasanii wataumia Sana..hawa Jamaa hawana upendo kwa msanii yeyote wasiyenufaika nae .hawana Nia njema na bongo fleva...
Hawataki msanii yeyote asikike.na ndio maana msanii akitoa kazi nao watatoa kazi au kuhakikisha hasikiki..ni muda wa wasanii kujiunga na kupambanana na huu ujinga kama walivyopambana na clouds
 
Showbiz ina tactics nyingi na hakuna mtu anayeacha kusikiliza nyimbo nzuri eti kwa sababu watu wameacha au wameoana au wamepigana au wameibiana whatsoever, kila artist anaweza ku-shine alimradi atoe kazi nzuri.
Hizi cheap excuses hazina mashiko, digital platforms ziko na wasikilizaji wapo alimradi nyimbo ziwe nzuri.
 
Illuminate huwa hawaoi na kama alioa kabla ya kuingia agano na lucifer huyo mke lazima wamnywe supu. Hapo kamchezea dada wa watu sasa anataka boya lijichanganye.
kweli kabisa halafu huwa tunaambiwa eti kina barrack obama, Jay z, Beyonce, Kanye West, 50 Cent, Diddy na wengine wengi ni ILLUMINATE kumbe huwa wanatudanganya tu.
 
Wasiwaleteeni uhuni. Huyu almasi hajagonga hiyo ngoma? Mtu anazaa tu haoi nani anaweza kumuaminišŸ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…