sweetapple
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 533
- 461
Zari hakuwai olewa Na Baba watoto wa kwanza..ulizaga..Ndo Maana alipoulizwa VP TALAKA ya Ivan akasema hawana cheti chochote walikuwa wanaishi tu kawaida..Sasa TALAKA ya nini..Wametengana kama walivyokutana kisela.Zari Kiboko yetuuuuu.Mi sitii neno ....... zaa tu kwa raha zako after all una financial support ya mumeo wa ndoa
Ha ha haaa.. Nipo tele kule.. Mi mdogo wake Mangesaint I unajuaga mahabari ya town lol.... nahisi instagram hukosekani wewe
Walifinga ndoa ya kimilaZari hakuwai olewa Na Baba watoto wa kwanza..ulizaga..Ndo Maana alipoulizwa VP TALAKA ya Ivan akasema hawana cheti chochote walikuwa wanaishi tu kawaida..Sasa TALAKA ya nini..Wametengana kama walivyokutana kisela.Zari Kiboko yetuuuuu.
Rafiki umefurahi nini?Zarinah kupata mtoto inakuhusu nini wewe??Nimefurahi sana leo, hongera zarinah kila laheri ujifungue salama
Awe makini huenda Zari ana ajenda binafsi, angalia sana ndogo wangu inaweza kula kwako
Ni jambo la heri kupata mtoto, hata wewe ukipata mtoko nitakufurahia piaRafiki umefurahi nini?Zarinah kupata mtoto inakuhusu nini wewe??
Sawa rafiki!Ni jambo la heri kupata mtoto, hata wewe ukipata mtoko nitakufurahia pia
biblia inasema watoto wa ujanani ni sawa na mishale wakati wa uzee wako,azidi kumjaza mama tiffa nyingine na nyingine na nyingine tena baada ya hiyoWatoto ni baraka kutoka kwa Mungu, kama una uwezo wa kuwatunza na mama hana tatizo la kubeba mimba na yuko tayari kubeba mimba nyingine at least mbili au hata tatu basi hakuna ubaya wa kuongeza wengine wawili/watatu.