Diamond Ashikwa Makalio Jukwaani Mombasa!

Vipi mbona unateseka mkuu! Ashikwe mwingine uhemkwe mwingine!
Usishangae sana. Inaumiza pale malaya anapogawa kwa wengine na wanajipigia bure, ila ukiomba wewe anakurusha na vitishio juu vya kumkosea adabu.
Sasa hapa makalio ukimkugusa mkali mombasa wanachezea weee unajisikiaje? Sio kuumiza a huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule sio muziki, ni burudani
 
kama panya vile
 
Ndo vinavyomfanya awe na pesa kuliko wewe mkubwa au sio?
 
Pesa gani bwana wewe?..
Yaani hadi niwakatie wanaume wenzangu viuno ndo nipate pesa???..aaahh bora nibaki na vijisenti vyangu vya kahawa..!!ukiendekeza sana hela unaweza hata kufirw*a...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sikiliza nyimbo ya Tatiana manois inaitwa LIKE YOU.
.
Acha chuki kubali kakuzidi pesa, wanawake na umaarufu hivi ndo vitu vitatu tu wanaume tunavihitaji.
.
Una habari sumbawanga kuna shule inaitwa Diamond platinumz? Wewe kuna hata choo chenye jina lako?
 
Kama ataumwa itakua mbaya

kama ataendelea kufanya shughuli zake bila tatizo kwenye tako lake yote sawa
Starehe yake yeye wewe inakuuma nini? Just mind your own business
 
Kwani mjomba mi nashindwa kuelewa una matatizo gani rejea komenti yangu ya kwanza kabisa nazipenda nyimbo zake tu sana ila harakati zake ndo sizikubali,ni wazi kabisa diamond ana support ushoga yeye na crew yake,hii haina shida kwetu sisi watu wazima,ila tatizo liko kwenu nyinyi watoto wetu ambao hamuwezi kuamua la kuchukua zuri au baya...kwani basata hawaoni mchango wake??..lakini mbona walimpiga ban?..ni kwa sababu mambo anayoyachochea yana athari mbaya kuliko faida ipatikanayo kutokana na michango yake ktk jamii..

Kuna watu wanahela lakini si kwa kushikwa tako,inasikitisha dogo uko tayari kutomaswa tako ili upate hela!!..si hata kufirw*a utafirw*a tu...pesa hutafutwa kwa njia nyingi lakini si kudhalilisha utu wako..be careful mdogo wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…