Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Ila huyo tushamzoea kujiheshimu ni nadra sana
Iluminate lazima wagonge mhusika ili wamfanye maarufu hata kama umaarufu ni wa mhusika. Ila dogo kaboa, ingawa ndo kujifunza. Je kiba darasa la saba?Ila makalio si ni ya kwake?
Kiba alifanya show ya heshima sana Mombasa. Labda kwa vile ni ukweni
Usishangae sana. Inaumiza pale malaya anapogawa kwa wengine na wanajipigia bure, ila ukiomba wewe anakurusha na vitishio juu vya kumkosea adabu.Vipi mbona unateseka mkuu! Ashikwe mwingine uhemkwe mwingine!
Ule sio muziki, ni burudaniYule dogo mi mwenyewe simuelewegi harakati zake yaani yupo kichokochoko,we ona
1.Mara apake wanja
2.anakatika viuno vya ajabu ajabu(tazama mwimbo wa katika alioshirikishwa na navykenzo)
3.sikiliza vizuri mashairi yake mara sijui amber rutty,mara sijui mafuta yamefanyaje,sijui asafishe mtaro,yaani ana mambo ya kifirauni firauni,eti matako yapo ndindindi apake mafuta mgando
4.angalia sasa nguo zake,suruali anayovaa yule jamaa aisee we huwezi kuvaa sheikh wangu
5.mara avae kikuku,Mara atoboe pua
6.halafu nasikia eti yale manguo yenye marangirangi meeengi kama rainbow, eti ni bendera ya mashoga duniani,sasa nashangaa dogo ndo anayapenda kinyama yani,ata kwenye gari na ile ndege ya wasafi festival kayachora marangirangi yake..sasa leo ndo nasikia kashikwa tako,aisee nimehudhunika sana!!
Ila dogo mziki wake mzuri balaa,unaweza kuombea mkopo NMB...lakini ndo haufai kwa watoto wetu!
Yule dogo mi mwenyewe simuelewegi harakati zake yaani yupo kichokochoko,we ona

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mashabiki wengine hawana kabisa adabu, kuna njemba inaonekana kabisa ikigusa mfereji wa maji taka
Ndo vinavyomfanya awe na pesa kuliko wewe mkubwa au sio?Yule dogo mi mwenyewe simuelewegi harakati zake yaani yupo kichokochoko,we ona
1.Mara apake wanja
2.anakatika viuno vya ajabu ajabu(tazama mwimbo wa katika alioshirikishwa na navykenzo)
3.sikiliza vizuri mashairi yake mara sijui amber rutty,mara sijui mafuta yamefanyaje,sijui asafishe mtaro,yaani ana mambo ya kifirauni firauni,eti matako yapo ndindindi apake mafuta mgando
4.angalia sasa nguo zake,suruali anayovaa yule jamaa aisee we huwezi kuvaa sheikh wangu
5.mara avae kikuku,Mara atoboe pua
6.halafu nasikia eti yale manguo yenye marangirangi meeengi kama rainbow, eti ni bendera ya mashoga duniani,sasa nashangaa dogo ndo anayapenda kinyama yani,ata kwenye gari na ile ndege ya wasafi festival kayachora marangirangi yake..sasa leo ndo nasikia kashikwa tako,aisee nimehudhunika sana!!
Ila dogo mziki wake mzuri balaa,unaweza kuombea mkopo NMB...lakini ndo haufai kwa watoto wetu!
Pesa gani bwana wewe?..Ndo vinavyomfanya awe na pesa kuliko wewe mkubwa au sio?
Sawa bi mdogoPesa gani bwana wewe?..
Yaani hadi niwakatie wanaume wenzangu viuno ndo nipate pesa???..aaahh bora nibaki na vijisenti vyangu vya kahawa..!!ukiendekeza sana hela unaweza hata kufirw*a...
Ohoooo asa mbona wanitukana ndugu yangu!!..kuna sehemu yoyote niliokuudhi labda??
😂😂😂 Sikiliza nyimbo ya Tatiana manois inaitwa LIKE YOU.Pesa gani bwana wewe?..
Yaani hadi niwakatie wanaume wenzangu viuno ndo nipate pesa???..aaahh bora nibaki na vijisenti vyangu vya kahawa..!!ukiendekeza sana hela unaweza hata kufirw*a...
Starehe yake yeye wewe inakuuma nini? Just mind your own businessKama ataumwa itakua mbaya
kama ataendelea kufanya shughuli zake bila tatizo kwenye tako lake yote sawa
hebu kiweke hapa nikione mkuuKile kikuku alikuwa ana maanisha nn huyu jamaa.
Kwani mjomba mi nashindwa kuelewa una matatizo gani rejea komenti yangu ya kwanza kabisa nazipenda nyimbo zake tu sana ila harakati zake ndo sizikubali,ni wazi kabisa diamond ana support ushoga yeye na crew yake,hii haina shida kwetu sisi watu wazima,ila tatizo liko kwenu nyinyi watoto wetu ambao hamuwezi kuamua la kuchukua zuri au baya...kwani basata hawaoni mchango wake??..lakini mbona walimpiga ban?..ni kwa sababu mambo anayoyachochea yana athari mbaya kuliko faida ipatikanayo kutokana na michango yake ktk jamii..😂😂😂 Sikiliza nyimbo ya Tatiana manois inaitwa LIKE YOU.
.
Acha chuki kubali kakuzidi pesa, wanawake na umaarufu hivi ndo vitu vitatu tu wanaume tunavihitaji.
.
Una habari sumbawanga kuna shule inaitwa Diamond platinumz? Wewe kuna hata choo chenye jina lako?