Diamond Ashikwa Makalio Jukwaani Mombasa!

Diamond Ashikwa Makalio Jukwaani Mombasa!

Yule dogo mi mwenyewe simuelewegi harakati zake yaani yupo kichokochoko,we ona
1.Mara apake wanja
2.anakatika viuno vya ajabu ajabu(tazama mwimbo wa katika alioshirikishwa na navykenzo)
3.sikiliza vizuri mashairi yake mara sijui amber rutty,mara sijui mafuta yamefanyaje,sijui asafishe mtaro,yaani ana mambo ya kifirauni firauni,eti matako yapo ndindindi apake mafuta mgando
4.angalia sasa nguo zake,suruali anayovaa yule jamaa aisee we huwezi kuvaa sheikh wangu
5.mara avae kikuku,Mara atoboe pua
6.halafu nasikia eti yale manguo yenye marangirangi meeengi kama rainbow, eti ni bendera ya mashoga duniani,sasa nashangaa dogo ndo anayapenda kinyama yani,ata kwenye gari na ile ndege ya wasafi festival kayachora marangirangi yake..sasa leo ndo nasikia kashikwa tako,aisee nimehudhunika sana!!

Ila dogo mziki wake mzuri balaa,unaweza kuombea mkopo NMB...lakini ndo haufai kwa watoto wetu!
Watu wengi wanapenda hayo mambo uliyoyataja hapo juu. Kiufupi jamaa yupo kibiashara zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amesikia biashara anayouza ina wateja wengi mombasa hivyo akaamua awape sample hapo jukwaani.....

vere jiniasi!
 
Back
Top Bottom