Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,404
Starehe yake yeye wewe inakuuma nini? Just mind your own business
kuna matata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Starehe yake yeye wewe inakuuma nini? Just mind your own business
Wanathaminisha [emoji38][emoji38]wamombasa sio poa jmnDiamond Platnumz, ameshikwa makalio na mashabiki akiwa jukwaani, baada ya kuwageukia na kuanza kukata mauno kihasarahasara, jambo lililozua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii. Video
Bado unaweza kuzaa mtoto wa kiume...Matako si ni yake jamani mbona watu mna wivu hivyo? Haya njooni niyashike yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisipoelewa itanisaidia nini? Over 21 years maisha ni chaguo lake, nitabaki kuwa mshauri.Bado
Bado unaweza kuzaa mtoto wa kiume...
Akishikwa tako utaelewa
Jesus Christ!!!!Nisipoelewa itanisaidia nini? Over 21 years maisha ni chaguo lake, nitabaki kuwa mshauri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] He will.. very soonJesus Christ!!!!
Come soon!
haahaas duuu 😃😃😃Thread inayofata itakua hivi"Diamond abakwa" We subirini😂😂
Ile njemba ilivaa kapelo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu mashabiki wengine hawana kabisa adabu, kuna njemba inaonekana kabisa ikigusa mfereji wa maji taka
Malezi kama mama bado unageuzwa geuzwa na vijana kama mwanae kuna kitu hapo??
Hahahaa tumesha mkosa huyo ...atakuwa mpeperusha bendera yenye rangi za rainbowKwani mjomba mi nashindwa kuelewa una matatizo gani rejea komenti yangu ya kwanza kabisa nazipenda nyimbo zake tu sana ila harakati zake ndo sizikubali,ni wazi kabisa diamond ana support ushoga yeye na crew yake,hii haina shida kwetu sisi watu wazima,ila tatizo liko kwenu nyinyi watoto wetu ambao hamuwezi kuamua la kuchukua zuri au baya...kwani basata hawaoni mchango wake??..lakini mbona walimpiga ban?..ni kwa sababu mambo anayoyachochea yana athari mbaya kuliko faida ipatikanayo kutokana na michango yake ktk jamii..
Kuna watu wanahela lakini si kwa kushikwa tako,inasikitisha dogo uko tayari kutomaswa tako ili upate hela!!..si hata kufirw*a utafirw*a tu...pesa hutafutwa kwa njia nyingi lakini si kudhalilisha utu wako..be careful mdogo wangu!
Umenikumbushaaa mbali (Nje ya mada lakini):Kile kikuku alikuwa ana maanisha nn huyu jamaa.
Kah...wasanii ulowataja hapa wote siwajui hahahaa daayamondi/ravaravaKushikwa matako munamuona daayamondi mbona waking ravarava hamusemi Acheni unafiki wenu bwana.. Wewe Mbona mamako alikushikaga matako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kweli we ni JAFARIKushikwa matako munamuona daayamondi mbona waking ravarava hamusemi Acheni unafiki wenu bwana.. Wewe Mbona mamako alikushikaga matako
Sent using Jamii Forums mobile app