data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Diamond Platnumz ameiletea sifa na heshima kubwa Tanzania kwa mara nyingine, kwa kushinda tuzo kubwa ya ‘Best Worldwide Act Africa/India' kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zilizotolewa Milan, Italy usiku wa Jumapili Oct.25.
===========
Na Ma-Selfie Kwa Kwenda Mbele:
Attachments
Last edited by a moderator:

