Mkuu,
Ni kweli na ndiyo maana YouTube/ Google kitambo tangu mwaka 2012 wanafanya uhakiki wa mara kwa mara kuona ''umaarufu'' kuanzia Youtube Account holders binafsi au kampuni na pia account za msanii, mwanamuziki, label za kampuni kubwa za muziki n.k kama ni sahihi au la, hivyo ni ngumu sana mwaka 2016 msanii ''mkubwa'' akajaribu ku-''manipulate'' a.k.a kutumia ''maruhani wa Apps/ teknolojia'' kuongeza views n.k bila ''panga'' la Youtube kumpitia pamoja na ''onyo kali'' pia angalizo zoezi hili la uhakiki YouTube /Google ni endelevu.
Mfano AliKiba yupo na kampuni kubwa ulimwenguni
Sony Alikiba Becomes the Second African Artist to Sign a Global Music Deal With Sony Music na Msanii mkubwa kupita wote Tanzania, Diamond Platnumz amesaini
Universal Diamond amesainiwa Universal Music Group mwaka huu, hivyo wasanii binafsi kwa kuwatumia hawa wawili kama mfano waliosaini na kampuni kubwa uhakiki hupita kwa msanii binafsi na kampuni iliyomsainisha wakitupia vitu vyao Youtube moja kwa moja au kupitia washirika wao.. Soma zaidi mtandao wa :
Fake YouTube Views Cut By 2 Billion As Google Audits Record Companies' Video Channels | The Huffington Post