Diamond ashinda tuzo za AELA awards 2016 nchini Nigeria

Diamond ashinda tuzo za AELA awards 2016 nchini Nigeria

Kiba kiba kiba hiv kwa nini usiende naija kufanya kolabo upate tuzo? Mwenzio ndio anatokea huko. Tuzo zake zote za nje ni za kolabo za naija kazi kwako kiba
 
Kiba kiba kiba hiv kwa nini usiende naija kufanya kolabo upate tuzo? Mwenzio ndio anatokea huko. Tuzo zake zote za nje ni za kolabo za naija kazi kwako kiba
Je utanipenda aliyopata tuzo mwezi uliopita nayo kunamnigeria mule?
 
Hakuna solo iliyompa tuzo. Weka ushahidi hapa. Sasa mnajipanga kutoka na nani

Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
Nasema nawe mwaka jana ilichukua tuzo kama wimbo bora wa mwaka Africa
Nitampata wapi ushawahi kuchukua tuzo
Je utanipenda imechukua tuzo kma wimbo bora wa afro pop africa

Au na apo alinunua????
 
Nasema nawe mwaka jana ilichukua tuzo kama wimbo bora wa mwaka Africa
Nitampata wapi ushawahi kuchukua tuzo
Je utanipenda imechukua tuzo kma wimbo bora wa afro pop africa

Au na apo alinunua????
Atakwambia ananunua
 
Diamond anatumia kilevi cha hatari?... Watu wa psychology saidieni ni jinsi alivyohamaki na body language yake anaonekana yuko wasted kwenye clip iliyochukuliawa clouds fm....Kama mzee wa upako... Wote wapimwe mkojo [HASHTAG]#ujanjaujanja[/HASHTAG]
 
Sijawahi ONA watu ambao hawajielewi na kutojiamini kama sisi watz, our fellow countrymen kushinda tuzo kubwa ugenini tunaanza kupaka na visimu vyetu vya mchina, HIVI KUNA KITU KWA SASA KINATUTANGAZA KAMA IDENTITY NJE YA MIPAKA KAMA DIAMOND JAMANI EMBU TUACHE WIVU WA KIJINGA TUJIFUNZE MAZURI KWAKE MABAYA TUMKEMEE KHAA
 
Kama Kuna siku jitu linabishana eti diamond hamuwezi wizkid kweli jamani khaaa
 
Embu tuwe na personality ya kujiamini watanzania ni watu wanaheshimika sana kutokana na upekee wao huko njee embu tujitambue basi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii khaaaa
 
Ukitaka ufanikiwe ktk maisha usideal sana na negative things, zitakupotezea timing ktk mambo yako ya msingi. Diamond platnumz adeal na mziki wake kwani Kuna watu wake wengi wanaulewa huo mziki wake wa ujanja ujanja, kuliko huo wao wanaouita mzuri, mi namwambia bwana mondi always ktk maisha Ukitaka ufeli au uwe na stress basi jilazimisha kufanya kitu ili kipendwe na kila mtu, always utafeli. DIAMOND PLATNUMZ FANYA MZIKI WAKO HUO HUO WA UJANJA UJANJA, SISI WATU WAKO TUNAULEWA NA SI TUNAJUA UNAFANYA KWA AJILI YETU NA NDIO MAANA UMECHUKUA TUZO, YOU DESERVE IT BRO NA BADO TUNAENDELEA KUKUSUPPORT NA KAMA HAUPENDI MZIKI WAKE JUA HAUKUHUSU.
 
Diamond iz tha best artist hapa tz na africa kwa ujumla siyo wa kulinganisha na kiba hata kidogo mengine ni ushabiki tu
 
Back
Top Bottom