Big Deal
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 174
- 79
Wacha bwana.Lebo yake ndio imeingia mkataba na universal music! ila yeye hajasainiwa yofauti na wale wa sonny ambao wanampangia msanii muda wa kutoa ngoma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha bwana.Lebo yake ndio imeingia mkataba na universal music! ila yeye hajasainiwa yofauti na wale wa sonny ambao wanampangia msanii muda wa kutoa ngoma!
Umeelewa Dada?Wacha bwana.
Ndio, na ndio kilichotaka kumfanya davido avunje mkataba na hao sonnyWacha bwana.
Je utanipenda aliyopata tuzo mwezi uliopita nayo kunamnigeria mule?Kiba kiba kiba hiv kwa nini usiende naija kufanya kolabo upate tuzo? Mwenzio ndio anatokea huko. Tuzo zake zote za nje ni za kolabo za naija kazi kwako kiba
Nasema nawe mwaka jana ilichukua tuzo kama wimbo bora wa mwaka AfricaHakuna solo iliyompa tuzo. Weka ushahidi hapa. Sasa mnajipanga kutoka na nani
Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
Atakwambia ananunuaNasema nawe mwaka jana ilichukua tuzo kama wimbo bora wa mwaka Africa
Nitampata wapi ushawahi kuchukua tuzo
Je utanipenda imechukua tuzo kma wimbo bora wa afro pop africa
Au na apo alinunua????
Utanibishia sana ila huo ndio ukweliHakuna solo iliyompa tuzo. Weka ushahidi hapa. Sasa mnajipanga kutoka na nani
Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app