Diamond ashindwa kulipia Plate Number

Diamond ashindwa kulipia Plate Number

huyo Diamond ndio yule mchezaji mpya wa Yanga kutoka Kongo au huyu ni yupi?!
 
Umekurupuka binti wa mzee! Diamond amesema ni ujana kweli ulipelekea kutaka jina lake liwe ktk plate no! Lkn limemuondolea privacy yake na uhuru wa kuranda mjini! Hivyo hatofanya hivyo tena! Acha upotoshaji na kugeuza maneno
 
Aaah! Jane...hivi hiyo ten millions ukiipata si mtaji kwako,unataka mwenzio aweke plate no. tu.....kweli mapenzi kikohozi.
 
Wakuu, poleni na mfungo.

Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta anaungana na wasanii wengine waliowahi kung'aa lakini wameshafulia.
You're trying hard my dear! Keep going... kama upo Dar es salaam please let me know nikuletee card ya mwaliko wa birthday ya Tiffa... am no kidding!
 
The way Diamond anavyo chukuliwa serious na watanzania
ingekuwa hivyo hivyo na siasa za nchi hii tungefika mbali sana
Hakika Mkuu watanzania tuko interested sana na mambo ya kijingajinga
 
Mbona bado ni uamuzi wa busara tu, it is a wastage kulipa hela hizo kwa plate number. Hata serikali imechemka, ingeweza kupata watu wengi zaidi kwa tozo la zamani kuliko hili...
 
Sijaona amesema ameshindwa kulipia. Au tusikilizishe hiyo interview tusikie kabisa amesema hawezi kulipia kwasababu ya gharama.
 
Back
Top Bottom