Ha ha ha ha!Jane Lowassa chibu akifirisika si utamuunganisha na mzee akachunge ng'ombe monduli?
Huyohuyohuyo Diamond ndio yule mchezaji mpya wa Yanga kutoka Kongo au huyu ni yupi?!
tena ya kichumi sana.Ni maamuzi,
HahahahHuyohuyo
Tena maamuzi magumutena ya kichumi sana.
Kabana matumizi..
Anyway, mkuu kwema?
Mkuu Watanzania wangapi wanamchukulia 'serious' Diamond kiasi cha wewe kutoa kauli hii?
Hujasikia bungeni mtu kaomba sanamu lake liwekwe Posta?
Unakumbuka Nape alisema sijui Wema kaliletea sifa taifa kwa sababu ya App yake....?
You're trying hard my dear! Keep going... kama upo Dar es salaam please let me know nikuletee card ya mwaliko wa birthday ya Tiffa... am no kidding!Wakuu, poleni na mfungo.
Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta anaungana na wasanii wengine waliowahi kung'aa lakini wameshafulia.
Hizi si mada pendwa kwa da' Jane!mbona ukuandika siku alipotoa million 5 kumchangia yule mwanafunzi wa Mzumbe mwenye matatizo ya macho,, na vipi ule mchango wa madawat 600 kwa Mkuu wa Mkoa
Kuyaficha huweziAaah! Jane...hivi hiyo ten millions ukiipata si mtaji kwako,unataka mwenzio aweke plate no. tu.....kweli mapenzi kikohozi.
Teh tehNope Boss huyu dada anampenda sana Diamond , atakuwa anataka Labda ...
Hakika Mkuu watanzania tuko interested sana na mambo ya kijingajingaThe way Diamond anavyo chukuliwa serious na watanzania
ingekuwa hivyo hivyo na siasa za nchi hii tungefika mbali sana
sana tu..tena ya kichumi sana.
Kabana matumizi..
Anyway, mkuu kwema?