Diamond ashindwa kupanda Mlima Kilimanjaro, Steve Nyerere azitapika Tsh. Milioni 2

Sifa ni zipi zakupanda huo mlima,na ni gharama kiasi gani?
Watu wa wizara ya utalii waweke mambo wazi.
Mkuu, bado nina ndoto yakuorganize wanajf wapande kama kikundi ili kupunguza cost za mlima.

Ukisema upande mwenyewe ni gharama kubwa kidogo. Sio chini ya 800k hadi 1m
Ila mkipanda watu kama kumi kwa kushare gharama haizidi 300k. Hapo ni kila kitu.

Ni kujipanga tu.
I believe this is very possible!!
Kuna Watanzania wengi wana nia, ishu ni organization tu...
 
Good idea.
 
Kumbukeni wako waliopanda na wakafikwa na mauti wakati wakishuka. Ni huzuni sana
 
Mkuu mie nilishaenda kule tena kwa njia ngumu ya machame, lakini sikujikana, ila niwe mkweli tu kuna siku nililia, nikajuta na kujiuliza nini kimenipeleka kule
At Gilmans point kuna upepo unavumia kwenye mabarafu yale utadhani kuna maji yanatiririka mtoni,mlima una mambo ya ajabu na hatari sana ule.Si'vyepesi kufikia kilele chake,yahitaji ujasiri na uwezo.
 
At Gilmans point kuna upepo unavumia kwenye mabarafu yale utadhani kuna maji yanatiririka mtoni,mlima una mambo ya ajabu na hatari sana ule.Si'vyepesi kufikia kilele chake,yahitaji ujasiri na uwezo.
Ukipitia Machame route na route nyingine kama Lemosho, Umbwe.... Haupiti Gilmans point.
Only two routes will take you to Gilman point.
Rongai Route and Marangu route.
Route nyingine unaibukia Stella Point.
 
Mkuu kama unauzoefu mazoezi sio muhimu sana.
Ila kama ni mara ya kwanza mazoezi ni muhimu sana...
Mazoezi si'tu kwamba ni muhimu bali ni lazma hasa ya pumzi zaidi na misuli kidogo sana....afanyaye mazoezi ya pumzi ana nafasi kubwa sana ya kufuka kilele cha Mt Kilimanjaro maana mlima ule una mabadiliko makubwa ya climatic conditions mfano tropical savanna/equatorial/desert na ufinyu wa hewa safi kwa pumzi hasa pale juu kileleni Uhuru peak jua lianzapo kuchomoza alfajiri.
 
Yes!!
The Best Route for aclimatization is Machame, I love this route...
 
Nimezunguzia Gilmans maana wahusika wamepitia Marangu route,obvious sikutaka kuleta inconvinience za kiuandishi kutaja hizo route zingine.
Ukipitia Machame route na route nyingine kama Lemosho, Umbwe.... Haupiti Gilmans point.
Only two routes will take you to Gilman point.
Rongai Route and Marangu route.
Route nyingine unaibukia Stella Point.
 
Nimezunguzia Gilmans maana wahusika wamepitia Marangu route,obvious sikutaka kuleta inconvinience za kiuandishi kutaja hizo route zingine.
Nimeona umequote ram aliyesema yeye alipita Machame
 
Mkuu ikibidi andaa mwezi wa 12 tujoin tuje tupande haiwezekani nimezaliwa karibu na huu mlima alafu sjawahi kuupanda ni aibu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…