Haya sio yangu,ngoja niyapishe yapite.Rais wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz ametaja sifa za kujiunga na lebo hiyo. Msanii huyo amesema ni lazima uwe umetoka katika maisha ya chini kabisa, yaani familia isiyojimudu kiuchumi.
Diamond amesema hawawezi kuchukua watu wanaotokea familia zinazojimudu kiuchumi [tajiri] kwa sababu ni vigumu kwa wao kupambana kwa kuwa kila kitu wanacho.
Msikilize zaidi hapo chini.
bas sawa mkuuYeap, ujawahi sikia rais wa kampuni flani au nini
Kama bashiteYuko sawa kimtizamo wake lakini akumbuke iwe mtu unatoka familia yenye kipato au familia duni, kama hana nidhamu za kimaisha na kujitambua hawezi kusonga mbele na kupambana na maisha.