Diamond ataja kigezo cha kujiunga WCB

Diamond ataja kigezo cha kujiunga WCB

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
651
Rais wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz ametaja sifa za kujiunga na lebo hiyo. Msanii huyo amesema ni lazima uwe umetoka katika maisha ya chini kabisa, yaani familia isiyojimudu kiuchumi.
Diamond amesema hawawezi kuchukua watu wanaotokea familia zinazojimudu kiuchumi [tajiri] kwa sababu ni vigumu kwa wao kupambana kwa kuwa kila kitu wanacho.
Msikilize zaidi hapo chini.
 
Haya sio yangu,ngoja niyapishe yapite.
 
Back
Top Bottom