brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
-
- #21
YaahSupport kazi sio personal life. Chris brown asingekua na fans tangu alivyomdunda rihana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo TEAM zipo ligi daraja la ngapi!?
Hivi tuzo za KTMA lini ................????tunasupport ila changamoto kubwa ndo hyo mwanamke kila siku anatafuta mabeef kwa watu anaepata hasara ni diamond unadhani hamisa na team yake wanampa diamond kura?
je team wema?
team penny ?
team kiba na jokate?
team ivan?
team katunzi?
team farouk?
team huddah?
team chaga babe ?
diamond asidanganywe na viewers wa you tube
kwani hizo mambo za kusema diamond ana dharau tumeanza kuzisikia leo mkuu?, mbona toka kitambo wanasema ana dharau na bado anabeba tuzo za kumwaga, diamond bado ana mashabiki wengi watampigia kura tuu.diamond kupata tena tuzo sio rahisi zari kamuharibia sana ,watu wanamuona kama ana dharau hivi
Alafu Natoka wasanii ambao hawana dharau diamond yupokwani hizo mambo za kusema diamond ana dharau tumeanza kuzisikia leo mkuu?, mbona toka kitambo wanasema ana dharau na bado anabeba tuzo za kumwaga, diamond bado ana mashabiki wengi watampigia kura tuu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Support kazi sio personal life. Chris brown asingekua na fans tangu alivyomdunda rihana
Hahahahqtunasupport ila changamoto kubwa ndo hyo mwanamke kila siku anatafuta mabeef kwa watu anaepata hasara ni diamond unadhani hamisa na team yake wanampa diamond kura?
je team wema?
team penny ?
team kiba na jokate?
team ivan?
team katunzi?
team farouk?
team huddah?
team chaga babe ?
diamond asidanganywe na viewers wa you tube
Watampa tu,mana hizo team si kwamba wanamchukia mondi wanampenda kupita mfano lazma wamsapoti bwna wao .tunasupport ila changamoto kubwa ndo hyo mwanamke kila siku anatafuta mabeef kwa watu anaepata hasara ni diamond unadhani hamisa na team yake wanampa diamond kura?
je team wema?
team penny ?
team kiba na jokate?
team ivan?
team katunzi?
team farouk?
team huddah?
team chaga babe ?
diamond asidanganywe na viewers wa you tube
Usjali nimezipokea hzoall the best!
Uzalendo kwanza!Usjali nimezipokea hzo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] UMEUA kila kitu.Hizo TEAM zipo ligi daraja la ngapi!?
Usijali najua umejikaza sana kutoa wish hzoUzalendo kwanza!
Subr team kiba waje watakuwa wanajua [emoji12]Hivi tuzo za KTMA lini ................????
ngoja me and I akusikie atakuacha we shauri yakoHahahahq
We unawaza timu zisizo na makocha hizo!!
Domo ana washabiki nje ya bongo wengi tuu, kwanza hata hapa bongo wako wengi zaidi. Yaan kama ya kushinda ata shinda tuu.
Aahh!wapi!Usijali najua umejikaza sana kutoa wish hzo
[emoji125]
Hahahangoja me and I akusikie atakuacha we shauri yako
Aaah na kweliAahh!wapi!
kiroho safii!
umri wangu sasa hivi hauniruhusu kuwa shabiki maandazi!