Diamond atajwa kwenye tuzo nyingine mbali na MTV

Diamond atajwa kwenye tuzo nyingine mbali na MTV

tunasupport ila changamoto kubwa ndo hyo mwanamke kila siku anatafuta mabeef kwa watu anaepata hasara ni diamond unadhani hamisa na team yake wanampa diamond kura?
je team wema?
team penny ?
team kiba na jokate?
team ivan?
team katunzi?
team farouk?
team huddah?
team chaga babe ?
diamond asidanganywe na viewers wa you tube
Hivi tuzo za KTMA lini ................????
 
Team zenu hizo za mitandao ya jamii hazitomwasili diamond hata kidogo, mwaka jana mwezi wa kumi diamond platnumz alivyokuwa akigombea MTV EMA Europe, team wema, team joketi, team kiba (mzee wa kitonga) bila kusahau team UKAWA wote walikuwa against na diamond platnumz lkn mwisho wa siku kachukua MTV EMA AFRICA na WORLDWIDE, mbili kwa mpigo, mi hizo timu naona upuuzi tu hazimpunguzii kura DIAMOND.
 
diamond kupata tena tuzo sio rahisi zari kamuharibia sana ,watu wanamuona kama ana dharau hivi
kwani hizo mambo za kusema diamond ana dharau tumeanza kuzisikia leo mkuu?, mbona toka kitambo wanasema ana dharau na bado anabeba tuzo za kumwaga, diamond bado ana mashabiki wengi watampigia kura tuu.
 
Alafu Natoka wasanii ambao hawana dharau diamond yupo
 
tunasupport ila changamoto kubwa ndo hyo mwanamke kila siku anatafuta mabeef kwa watu anaepata hasara ni diamond unadhani hamisa na team yake wanampa diamond kura?
je team wema?
team penny ?
team kiba na jokate?
team ivan?
team katunzi?
team farouk?
team huddah?
team chaga babe ?
diamond asidanganywe na viewers wa you tube
Hahahahq
We unawaza timu zisizo na makocha hizo!!
Domo ana washabiki nje ya bongo wengi tuu, kwanza hata hapa bongo wako wengi zaidi. Yaan kama ya kushinda ata shinda tuu.
 
Watampa tu,mana hizo team si kwamba wanamchukia mondi wanampenda kupita mfano lazma wamsapoti bwna wao .
 
Hizo TEAM zipo ligi daraja la ngapi!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] UMEUA kila kitu.
 
Hahahahq
We unawaza timu zisizo na makocha hizo!!
Domo ana washabiki nje ya bongo wengi tuu, kwanza hata hapa bongo wako wengi zaidi. Yaan kama ya kushinda ata shinda tuu.
ngoja me and I akusikie atakuacha we shauri yako
 
Back
Top Bottom