Diamond atajwa kwenye tuzo nyingine mbali na MTV

Diamond atajwa kwenye tuzo nyingine mbali na MTV

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Baada ya Diamond Platnumz kutajwa kuwania tuzo za MTV MAMA 2016 zinazotolewa na kituo cha TV cha MTV Base Africa, sasa Tuzo nyingi zinazidi kutambua juhudi na kazi yake kwenye muziki wa Tanzania ambapo good news ni kwamba amepata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za Ghana Music Awards UK.

Tuzo za Ghana Music Awards UK zinazoandaliwa kwa ushirikiano wa kampuni mbili za Alordia Promotion & West Coast UK Entertainment za nchini Ghana na Uingereza.

Diamond Platnumz anawania tuzo hii kupitia kipengele cha AFRICAN ARTIST OF THE YEAR akichuana na mastaa wengine akiwemo Patoranking, Fally Ipupa, Davido, AKA, Wizkid, Olamide na Tekno Milles.

Sherehe za utoaji wa tuzo hizi zimepangwa kufanyika jijini London, Uingereza mnano November 5 2016.

Hii ni List nzima ya wasanii waliotajwa kuwania tuzo hizo kwenye vipengele 26.

AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR
Patoranking
Fally Ipupa
Davido
AKA
Wizkid
Diamond Platnumz
Olamide
Tekno

BEST CLUB DJ OF THE YEAR
DJ Bibi
DJ Fiifi
DJ Invisible
DJ Sawa
DJ Billy
DJ Chris Vibez

GOSPEL SONG OF THE YEAR
Hour by Hour – SP Kofi Sarpong ft. Joyce Blessing
M’asem (Yoboyo) – Kofi Gyan
Wowo Nkwa Wo Wo Ade3 – Mary Owusu
Hyebre Sesafo – Obaapa Christy
Wafom Kwan – Patience Nyarko
Aporsor – Nicholas Omane Acheampong

GOSPEL ARTISTE OF THE YEAR
Obaapa Christy
Nicholas Omane Acheampong
Joe Mettle
SP Kofi Sarpong
Patience Nyarko
Preachers

NEW ARTISTE OF THE YEAR
Nero X
Kofi Kinaata
Wisa
Atom
Mr. Eazi
Nii Funny

MUSIC PRODUCER OF THE YEAR
Mobeatz – Skolom
Bisa Kdei – Brother Brother
Kaywa – Mansa
Beatz Dakay – Mightylele
Dr. Ray – Yewo Krom
Kin Dee – Susuka
The Maker – Chop Kiss

BEST MUSIC VIDEO OF THE YEAR
MzVee – Hold Me Now
Joey B – U And Me
Obrafour – Nkontompo
YaaYaa – Dumb Drum
Edem – Girlfriend
Teephlow ft. Sarkodie – The Warning
Mr Eazi ft. Sarkodie – Anointing
Becca ft. Bisa Kdei – Hwe
VVIP ft. Samini – Dogo Yaro

BEST GROUP OF THE YEAR
VVIP
R2Bees
Keche
4×4

BEST RAPPER OF THE YEAR
EL
Guru
Yaa Pono
M.anifest
Pappy Kojo
Flowking Stone
Obrafour
Edem
Sarkodie
Omar Sterling

HIPLIFE SONG OF THE YEAR
Atom – Yewo krom
EL – Koko
Wisa – Ekikimi ft. Luther
VVIP – Skolom ft. Sena Dagadu
Guru – Pooley Swag
Mr. Eazi – Hollup

HIGHLIFE SONG OF THE YEAR
Bisa Kdei – Mansa
R2Bees – Makoma
Bisa Kdei – Brother Brother
Kofi Kinaata – Susuka
Ofori Amponsah – Alewa ft Sarkodie
Kwabena Kwabena – Tua Mu Daa

HIGHLIFE ARTISTE OF THE YEAR
Bisa Kdei
Afriyie
Ofori Amponsah
Nero X
Kwabena Kwabena

MOST POPULAR SONG OF THE YEAR
Mansa – Bisa Kdei
Brother Brother – Bisa Kdei
Go Higher – Stonebwoy
Ekikimi – Wisa ft. Luther
Baby (Chop Kiss) – Shatta Wale
Yewo Krom – Atom ft. Jhunea
Susuka – Kofi Kinaata
Kakai – Shatta Wale

REGGAE / DANCEHALL SONG OF THE YEAR
Go Higher – Stonebwoy
Enemies – Jupitar ft Sarkodie
Mightylele – Stonebwoy
Kakai – Shatta wale
Hold it – Shatta Wale
Pumpum – Rudebwoy Ranking ft Episode

REGGAE / DANCEHALL ARTISTE OF THE YEAR
Stonebwoy
Jupitar
Samini
Episode
Mzvee
Shatta wale

AFROBEATS ARTISTE OF THE YEAR
Mr. Eazi
D-Cryme
Pappy Kojo
Kofi Kinaata
R2Bees
Wisa

BEST COLLABORATION OF THE YEAR
Mr. Eazi ft. Efya – Skin Tight
VVIP ft. Sena Dagadu – Skolom
Sarkodie ft. Akwaboah – Mewu
Pappy Kojo ft. Sarkodie – Aye Late
Wisa ft. Luther – Ekikimi
D-Cryme ft. Sarkodie – Koko Sakora
Mr Eazi ft. Eugy – Dance For Me
Jupitar ft. Sarkodie – Enemies
Becca ft. Bisa Kdei – Hwe

ALBUM OF THE YEAR
Mary – Sarkodie
Elom – EL
Breakthrough – Bisa Kdei
I Believe – SP Kofi Sarpong
After The Storm – Shatta Wale
Necessary Evil – Stonebwoy
Breaking News – Samini

ARTISTE OF THE YEAR
Shatta Wale
Nero X
Sarkodie
Stonebwoy
Bisa Kdei
SP Kofi Sarpong
EL
Mr. Eazi

BEST UK BASED GROUP
Kwamz & Flava
Vibez Squad
NSG
Kraze
CXCV
IRAY MVNT

BEST UK BASED AFROBEATS ARTISTE
Jaij Hollands
Mista Silva
K Weezy
Scob Original
Charsey
Kwamz & Flava

BEST UK BASED AFRO-POP ARTISTE
Zafi B
Eugy
Areatha Anderson
Tinchy Stryder
Prince Rapid
Fuse ODG
Stormzy
NSG

BEST UK GOSPEL SONG

Amazing God – Sonnie Badu
We Love You – Louisa Annan
Yebe Duru – Nhyira Hemaa
Jesus the Reason for the Season – Kwame Amponsah
Bisa Awurade – Betty Acheampong
Work In Progress – Diana Antwi Hamilton

BEST UK BASED GOSPEL ARTISTE

Sonnie Badu
Mama Fausty
Ohemaa Jackie
Antwi Diana Hamilton
Louisa Annan
Nhyira Hemaa
Osei Kofi
Kwame Amponsah
Betty Acheampong
Ohene Darko

BEST UK BASED MUSIC VIDEO

Tina – Fuse ODG ft. Angel
New Girl – Reggie N Bollie
Pinga – Jaij Hollands ft NSG
B.A.D (Best Achieving Don) – Mr Silva
Watch Nobody – Atumpan ft. Paigey Cakey

UK BASED GHANAIAN INTERNATIONAL ARTISTE

Fuse ODG
Tinchy Stryder
Sonnie Badu
Reggie N Bollie
Lethal Bizzle
Stormzy

Kwa hisani ya Millard Ayo.
 
diamond kupata tena tuzo sio rahisi zari kamuharibia sana ,watu wanamuona kama ana dharau hivi
 
No time do discuss,,,,,, let's support our guy.
tunasupport ila changamoto kubwa ndo hyo mwanamke kila siku anatafuta mabeef kwa watu anaepata hasara ni diamond unadhani hamisa na team yake wanampa diamond kura?
je team wema?
team penny ?
team kiba na jokate?
team ivan?
team katunzi?
team farouk?
team huddah?
team chaga babe ?
diamond asidanganywe na viewers wa you tube
 
Kweli wewe mdaku..... OK BC sawa hawezi pata
 
Mondi kama mchawi vilee, kadri watu watakavyoweka kampeni ili asishinde yeye ndio kwanzaa anazidi kutusua kwa kishindo kama ilivyotokea kipindi kile Wema na wenzake walivyokuwa wanaendesha kampeni ya kum support davido lakini mwisho wa siku davido akalamba sakafu kama kawaida na mondi akaibuka kidedea
 
Tumsapoti mtanzania mwenzetu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mondi kama mchawi vilee, kadri watu watakavyoweka kampeni ili asishinde yeye ndio kwanzaa anazidi kutusua kwa kishindo kama ilivyotokea kipindi kile Wema na wenzake walivyokuwa wanaendesha kampeni ya kum support davido lakini mwisho wa siku davido akalamba sakafu kama kawaida na mondi akaibuka kidedea
USICHEZE NA NGUVU ZA MASHABIKI MKUU
 
Kama unataka kufanikiwa kirahisi, kwanza watakie marafiki na maadui zako mafanikio.
So let us support him. Tujitahidi kumpa kura ili aendelee kuajiri wenzio, lakini pia kutupa burudani na kututambulisha.
So kiroho safi jamaa ni mkali mpeni kura
 
USICHEZE NA NGUVU ZA MASHABIKI MKUU
Ila kumbuka dai anamashabiki wengi hata kama bongo hamtampigia kura ,bado nchi kama Rwanda,Burundi, Kenya ,hata Nigeria yenyewe na nchi nyinginezo watampigia kura tu ,wao hawana habari kwamba oo sijui Zari kasema nini wao wanachojali wanaburudika tu bhaas na si vinginevyo
 
Kama unataka kufanikiwa kirahisi, kwanza watakie marafiki na maadui zako mafanikio.
So let us support him. Tujitahidi kumpa kura ili aendelee kuajiri wenzio, lakini pia kutupa burudani na kututambulisha.
So kiroho safi jamaa ni mkali mpeni kura
True dat
 
tunasupport ila changamoto kubwa ndo hyo mwanamke kila siku anatafuta mabeef kwa watu anaepata hasara ni diamond unadhani hamisa na team yake wanampa diamond kura?
je team wema?
team penny ?
team kiba na jokate?
team ivan?
team katunzi?
team farouk?
team huddah?
team chaga babe ?
diamond asidanganywe na viewers wa you tube
Hizo TEAM zipo ligi daraja la ngapi!?
 
Back
Top Bottom