Sikubaliani na hii list kabisa. Yaani mtanzania pekee kuimba na R. Kelly tangu dunia ianze hajawekwa? Sasa sijui wana lengo gani. Itabidi management ifuatilie kujua vigezo gani vilitumika.
niko serious jamani ali kiba ni msanii wa naijeria au south africa
Dunia inahitaji sana watu kama wewe, okay hana influence yoyote ile ndio maana umepata muda zakufungua uzi unamhusu.Kwa anvyopenda sita na kujionesha sishangai hahahaaaa ana influence nn labda nieleweshe huyu mtu wa mwisho kwenye list
Nani kafungua Uzi?Dunia inahitaji sana watu kama wewe, okay hana influence yoyote ile ndio maana umepata muda zakufungua uzi unamhusu.
Ali kiba ndo nan mkuu?Na Ali kiba Je??????
Sio vizuri wenzako watajinyongaMondi hoyeeee! Waburuze tu mwanamanyema chezea almas wewe!
Mchunga tembondio naaaaani
Wenye wivu wajinyonge leoo...wanakodoa kodoo...Ali kiba ni mkubwa kuliko hilo gazeti lenu la "influential young African"(in team kibakulis voice)
yeeeaaahAli kiba ni mkubwa kuliko hilo gazeti lenu la "influential young African"(in team kibakulis voice)