Diamond atajwa mtanzania pekee kwenye list ya 100 most influential young africans

Diamond atajwa mtanzania pekee kwenye list ya 100 most influential young africans

niko serious jamani ali kiba ni msanii wa naijeria au south africa
 
Kwa anvyopenda sita na kujionesha sishangai hahahaaaa ana influence nn labda nieleweshe huyu mtu wa mwisho kwenye list
Dunia inahitaji sana watu kama wewe, okay hana influence yoyote ile ndio maana umepata muda zakufungua uzi unamhusu.
 
Hahahaaaa vigezo ni pamoja na sita za kijinga za kujionesha hovyo kitu ambacho Ali hana
 
fb1d4bb2f984d34336090e51a4fe5721.jpg
acheni uboya basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo, utimu usikufanye hadi unapotosha habari, kwenye hiyo top 100 wabongo wapo zaidi ya mmoja acha mihemko
e5fa71c3814aba2e2b824f4ec7f6aee7.jpg


Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom