Diamond ataka siku ya ndoa yake iwe sikukuu ya kitaifa

Anatafuta apendwe?! NI kipi so special alichonacho Tanasha cha kumfanya Diamond alazimishe kupendwa kutoka kwake! The problem mnapenda kuchukulia serious kila kinachoongelewa na mastaa!!! Halafu kuvizia vya wenzake kivipi? Zile kolabo anazofanya na akina Mbosso, au?! Hivi unafahamu maana ya zile kolabo kwa akina Mbosso?! Hivi unadhani mtu kama Lavalava angekuwa anatoa zile nyimbo mwenyewe kama mwenyewe angekuwa anapata angalau hizo views 500K?! Au labda umesahau hata yeye mwenyewe ni hizi collabo ndizo zilimtoa na ndio maana anafahamu nini maana ya kufanya kazi na watu kama akina Mbosso kabla hawajaweza kusimama wenyewe.
 

Niondolee porojo zako.. unaoenda uone hivyo endelea kuona.

Kamwangalie anaringishia nyumba ambayo dalali alikuwa amerusha kupangisha.. kwanza upite huko wengine bado tupo busy na show ya Davido ya kule jijini London last wikendi.

Ajiongeze azidi kukaa juu na sio drama za ovyo tumezichoka.. kapwaya pwaya siku hizi.. yeye wanawake tu ndio anaona kazi inayomfaa kwa sasa.. anatia aibu.. ajiongeze kashuka sana kwa mengi siku hizi.. uzi za humu akiongelewa zinatoa majibu pia. Kutoka na huyo dada kabuma naamini anajuta ila hana namna.. atubu
 
Nonsense! Sasa habari za nyumba zinatoka wapi, au wivu unakusumbua!! Yaani habari za miezi kadhaa iliyopita unakuja kuzitolea povu leo hii! Pole sana, utakufa na wivu wako huo!!

Btw, kama upo busy na shows za Davido, sasa habari za Diamond unazifuata za nini?! Halafu kwamba eti anaringishia nyumba, kwani alikuita kwenye Instagram akaunti yake hadi ukaweza kuona anavyoringishia hiyo nyumba? Halafu hata akili hauna! Eti kapwaya wakati mtu bado anaendelea kutoa ngoma na zinafanya vizuri huku akizidi kufanya investments! Ni mapoyoyo kama nyinyi ndio mlikuwa mnasema hata TV sio ya kweli bali ana hisa ya 2%, stupid!!!! Btw, kajuta kivipi kwa huyo dada ? Kwani wamefunga ndoa ya Kikristo kwamba kuvunjika theoretically hadi mmoja afe? Mbona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo wewe?!
 

Ha ha haaaaaa
Ona ulivyo jaa upupu.. jikune tu

Tabu mnapenda kusifia mkifiri kila mtu ni bomu kama wewe.

Ukweli ndio huo.. yeye ni celeb anarusha yake tuyaone.. na nitayaongelea hata angerusha ya pichu nitaandika..

Wewe ni shabiki au muhusika KOKO

Diamond abadilike.. na hana washauri wazuri.. watoto kawatekeleza akafikiri pia atapendwa zaidi kumbe eeeeeh kachemka.. hajui kudansi na uceleb..

Abadilike au atafute maneja mpya.. hii ni na hao mameneja wajiongeze..

Lia sasa.. uzuri sentensi zako mbili tu nimesoma za mwanzo na kukupatia majibu haya.

Analosti
 
Ndo maana nimesema huna akili!!! Abadilike nini?! Kipi unachokiona kwa Diamond ambacho zamani alikuwa hafanyi?! Kama suala la kurusha maisha yake ina maana ndo kaanza sasa hadi utake abadilike?! Ndo maana nimekuambia una wivu wewe mbwiga, tena ni wivu wa kijinga! Ni wewe mwenyewe ndie umem-follow! Kwanini usim-unfollow kama unakerwa na hayo anayorusha?!

By the way, kama hoja ya kiki, mabogasi kama nyinyi hamjaanza kuimba leo hizo nyimbo kwamba jamaa anapenda kiki kwahiyo ni upunguani kusema Diamond wa jana alikuwa bora kuliko wa leo wakati hizo kiki hajaanza jana wala leo?! Kama kuwalamademu wapenda shobo na kuwabwaga, vile vile hajaanza leo! Ni mabogasi aina yenu ndo mnaoona jamaa yupo tofauti lakini kimsingi Diamond huyu ni yule yule wa miaka yote!!!

Halafu ona ulivyo mpumbavu!! Eti watoto kawatelekeze!! Wewe ni House Girl wa Zari, nini?! Tena basi kwa sentensi yako hiyo ndo nimepata picha kumbe ni msukule wa Zari! Yote hayo ni maumivu ya Bi Mkubwa wenu kupigwa chini!!! Na labda tu nikukumbushe huyo Bi Mkubwa wenu bado anaishi kwenye nyumba ya huyo huyo unayesema katekeleza waroro; ni ujinga wako!!!

Isije nikawa napoteza muda na frustrated single mother hapa!!!
 

Yaani ungejua sisomi na nimecheka nimeona gazeti

Hasira za nini.. unahusika naona

Ha ha ha haaaaaaaa
Ukweli utabaki kuwa ajibadili anajibwaga pole pole..

Ukitaka lia lia then jipige vibao vya usoni

Najulikana humu ningesoma ungekuwa kichaa kabisa kwa majibu yangu.. sijakuomba unibadili ninachosimamia.. sibadilishi msimamo wangu.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naona unajichekesha kwa kujipa moyo lakini ukweli ni kwamba wewe ni frustrated single mother, na ndio maana ingawaje ni mama mtu mzima mwenye familia, lakini unahangaika na Instagram kufuatilia maisha ya vijana wadogo wenye umri sawa na wanao!!!

Halafu ona ulivyokuwa juha!! Eti unajulikana humu!!! Watu wakujue kwa kipi ulichonacho? Au unajulikana kama moja ya majuha wa JF?! Sifa za kijinga kabisa!!!

Aidha, na ndo maana nimesema wewe ni mpumbavu! Kwa sababu ni mpumbavu pekee ndie anayeweza kuandika utumbi wote huo wakati hajasoma! Aidha ni mpumbavu tu ndie anaweza kupoteza muda kuandika yote hayo wakati hajasoma!!

Pole sana, ndo kama nilivyosema hapo awali kwamba una dalili zote za frustrated single mother aliyejawa na chuki dhidi ya vijana wanaokula maisha!! Sasa badala ya kuhangaika na habari za instagramu kufuatilia habari za vijana wadogo wakati wewe ni mama mzima, busara ingekuwa ni kwako kutulia kulea familia ili uondokane na hizo frustration za kuwa single mother!!!!
 
comment fupi fupi jamani
 
comment fupi fupi jamani
Ukiona comment ni ndefu, na hutaki kusoma comment ndefu, solution ni kupotezea hizo comments ndefu!! Haya mambo ni simpo sana, mbona tunapenda ku-complicate maisha?
 
Ukiona comment ni ndefu, na hutaki kusoma comment ndefu, solution ni kupotezea hizo comments ndefu!! Haya mambo ni simpo sana, mbona tunapenda ku-complicate maisha?
kweli kabisa, yani simple like that
 

Ha ha haaaaaaaaaaaaaa
lazima utakuwa umeandika utumbo wa popo tena..

Mtu akiandika maneno mengi ukamwambia sijasoma na umeendelea na sijasoma tena ujue

Wewe ni muhusika na pia ni 💀💀💀

Eeeeeeh kwa hivyo endelea kulia nimekuchoma mkuki kunogile
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Humu JF uzi ukidoda ni mfano muzuri sana.. mtu anayejadiliwa kujitafakari

Cocochanel oyeeeeeeeeee
 
Endelea kujifariji kwamba husoma wakati sindano zinakuingia!! Btw, umenichoma nini?! Umenichoma au nimekuchoma kwa kukuambia ukweli kwamba mama mtu mzima kama wewe mwenye familia ni upumbavu kushinda Instagramu kufuatilia umbeya wa watoto wadogo?!!

NImekuambia Diamond ni yule yule! Kama ni kiki, hajaanza leo! Kama kutom.ba mademu washobokaji na kuwamwaga, hajaanza leo!! Wewe hayo mapovu kwa sababu unaelekea ni msukule wa Zari na ndo maana umeleta habari za kutotunza watoto utafikiri wewe ni House Girl wake!!

Halafu ona ulivyo juha! Unadai uzi umedoda, wakati tangu jana badala ya kulea watoto, upo kwenye uzi unaodai umedoda!! Hivi una akili kweli wewe?!
 
Zero Brain kama MLEZI wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…