Diamond ataka siku ya ndoa yake iwe sikukuu ya kitaifa

Diamond ataka siku ya ndoa yake iwe sikukuu ya kitaifa

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz, inadaiwa kuwa amependekeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuitambua siku atakayo funga ndoa na mpenzi wake Tanasha raia wa Kenya na kuifanya kuwa sikukuu ya kitaaifa ‘’Public Holiday”, ikiwa na maana kwamba siku hiyo watu wasifanye kazi wala wanafunzi wasiende mashuleni.

Taarifa hizo zimeenea kwenye mitandao mbalimbali nchini Kenya na kujadiliwa na watu wengi, ambapo mtandao wa Ghafla umeandika kuwa Diamond amehairisha kufunga ndoa na Tanasha siku ya wapendanao kama alivyokuwa amepanga awali kwa kuwa siku hiyo mama wa mpenzi wake huyo atakuwa kazini, huku akiitaka serikari ya Tanzania kutizama uwezekano wa kufanya siku ya ndoa yake kuwa Sikukuu.

“Sababu ya kwanini imenibidi kubadili tarehe ya ndoa ni kwasababu mama yeke Tanasha atakuwa kazini siku ya Valenine’s Day. Sitaki iwe sherehe ndogo. Ikiwezekana ningependa serikali ya Tanzania kufikiria kuwa sikukuu ya kitaifa’’ umekaririwa mtandao wa Howwe Buz

Source: Times FM
Shehena ya utumbo mpana
 
Muwe mnaleta mambo ya maana ndyo yajadiliwe,

Kwani atakapokuwa anamgegeda na siye tutakuwa tunamgegeda wote.

Raha ya sikukuu ni kufurahia wote siyo kwa niaba ya mtu mmoja!

Poor mleta mada
Poor chanzo cha hbr
Poor diamond.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga mtupu...

Sasa hata kama mama mkwe akiwa kazini ni anaomba ruhusa na inakubalika makazini kuhudhuria sherehe tena ndoa ya mwanao...


Cc: mahondaw
 
Dem mwenyewe hana hata chura. yaani mondi kuwakamua kote kule kaangukia kwa huyo dem!.. daah
 
Wewe hao mademu wana miili mikubwa so inafanya na makalio yawe makubwa... Sanchi... Marehemu masogange... Lile la Nick minaji..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zile ndo takooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Haijalishi!. so kama wana mwili mkubwa halafu wana chura.. wanahesabika kuwa hawana chura??
 
Back
Top Bottom