Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Sijaolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaolewa
Miezi wa WCB ni naibu rais so anything can be possible.
Shehena ya utumbo mpanaMsanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz, inadaiwa kuwa amependekeza serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuitambua siku atakayo funga ndoa na mpenzi wake Tanasha raia wa Kenya na kuifanya kuwa sikukuu ya kitaaifa ‘’Public Holiday”, ikiwa na maana kwamba siku hiyo watu wasifanye kazi wala wanafunzi wasiende mashuleni.
Taarifa hizo zimeenea kwenye mitandao mbalimbali nchini Kenya na kujadiliwa na watu wengi, ambapo mtandao wa Ghafla umeandika kuwa Diamond amehairisha kufunga ndoa na Tanasha siku ya wapendanao kama alivyokuwa amepanga awali kwa kuwa siku hiyo mama wa mpenzi wake huyo atakuwa kazini, huku akiitaka serikari ya Tanzania kutizama uwezekano wa kufanya siku ya ndoa yake kuwa Sikukuu.
“Sababu ya kwanini imenibidi kubadili tarehe ya ndoa ni kwasababu mama yeke Tanasha atakuwa kazini siku ya Valenine’s Day. Sitaki iwe sherehe ndogo. Ikiwezekana ningependa serikali ya Tanzania kufikiria kuwa sikukuu ya kitaifa’’ umekaririwa mtandao wa Howwe Buz
Source: Times FM
Haaahaaa[emoji1787][emoji1787]...Demu mwenyewe full kujikuuuna sijui alostoooKwa kituko kile anachooa Au. Akwendreeee huko
Yaani. Katika wanawake ambao sijawahi hata kwfatilia historia yake ni Yule dada.Haaahaaa[emoji1787][emoji1787]...Demu mwenyewe full kujikuuuna sijui alostooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo busy na pussy badala apige kaziMimi ni shabiki wa huyu dogo lakini anazingua sana...davido na wizkid washamwacha mbali mnoo wakat kuna kipindi kama walikua wanaenda sawa hivi
Chibu unakwama wapi dogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawahi ona demu wa mond ana Chura hata mmoja?? Jamaa ndo pigo zakee zilee... Angekuwa anapenda mizigoo sanchi angeshamlaa...Dem mwenyewe hana hata chura. yaani mondi kuwakamua kote kule kaangukia kwa huyo dem!.. daah
Alipitaga kwa wema na uwoya so na hao hawana chura mzee??Ushawahi ona demu wa mond ana Chura hata mmoja?? Jamaa ndo pigo zakee zilee... Angekuwa anapenda mizigoo sanchi angeshamlaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hao mademu wana miili mikubwa so inafanya na makalio yawe makubwa... Sanchi... Marehemu masogange... Lile la Nick minaji..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zile ndo takoooAlipitaga kwa wema na uwoya so na hao hawana chura mzee??
Haijalishi!. so kama wana mwili mkubwa halafu wana chura.. wanahesabika kuwa hawana chura??Wewe hao mademu wana miili mikubwa so inafanya na makalio yawe makubwa... Sanchi... Marehemu masogange... Lile la Nick minaji..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zile ndo takooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye chura ni hap wawili tu kati ya 20...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haijalishi!. so kama wana mwili mkubwa halafu wana chura.. wanahesabika kuwa hawana chura??
Tena huenda wakaitumia hiyo siku kufanya kampeni za CCMMiezi wa WCB ni naibu rais so anything can be possible.