Diamond atalamba Milioni 50 sherehe za CCM - Ruvuma

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
aisee masela domo yupo levo nyingne kwa sasa,baada ya kula mkwanja unaokadiriwa zaidi ya mil 90 kwenye kiboko yao concert.hii itakuwa nyingne ya kwenda kulamba mil50 ya maCCM kesho songea.team mkiba mpo
 
Team kiba inahusikaje sasa hapo? Kumpenda mondi au kuwa mshabiki wake siyo lazima umchukie msanii mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…