issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
aisee masela domo yupo levo nyingne kwa sasa,baada ya kula mkwanja unaokadiriwa zaidi ya mil 90 kwenye kiboko yao concert.hii itakuwa nyingne ya kwenda kulamba mil50 ya maCCM kesho songea.team mkiba mpo