Promo tu za kupambana na Mwanadaresalame, so far hawana jipya.
Aisee! Mwl hivi unajua wewe nimchokozi?
Hahahaaa....bado yupo yupo kwanza. labda akianza kuzeeka ndo mumuulize anaoa lini...kijana wa watu bado mbichiiiiiiii....anakula ujana
Promo tu za kupambana na Mwanadaresalame, so far hawana jipya.
Yule mzee sasa hivi anapoteza kumbukumbu ndio maana kasahau kama aliahidi kama ataoa na sherehe itafanyika Taifa.
Haaaaa ngoja akusikie...mwenyewe kashasema uzee mwisho msata mjini kila mtu baby....anakula raha na mabebez...wa kuoa atakuwa yeye bwana....
acha ubwe eeeenge hivi mwana dar nayo ni nyimbo kweli
Anachosha huyu kijana visa vyake.............
Mitoto ya madrasa ina akili kama punda sijui ikoje
Nahisi Le mutuz kasahau kama anatakiwa kuoa.
Yyyeeeeeuuuuuwwwwiiiii.... Hivi Le mutuz bado hajaoa???
acha ubwe eeeenge hivi mwana dar nayo ni nyimbo kweli