Diamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema, apanga kufanya harusi uwanja wa Taifa

Diamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema, apanga kufanya harusi uwanja wa Taifa

Promo tu za kupambana na Mwanadaresalame, so far hawana jipya.

umeongea point
huyu mtu sijui yukoje!!!
kuutwaaaaa....kuchaaaaa....!!!
DIAMOND mda wote yuko kwenye rehersal
 
Hahahaaa....bado yupo yupo kwanza. labda akianza kuzeeka ndo mumuulize anaoa lini...kijana wa watu bado mbichiiiiiiii....anakula ujana

Yule mzee sasa hivi anapoteza kumbukumbu ndio maana kasahau kama aliahidi kama ataoa na sherehe itafanyika Taifa.
 
Yule mzee sasa hivi anapoteza kumbukumbu ndio maana kasahau kama aliahidi kama ataoa na sherehe itafanyika Taifa.

Haaaaa ngoja akusikie...mwenyewe kashasema uzee mwisho msata mjini kila mtu baby....anakula raha na mabebez...wa kuoa atakuwa yeye bwana....
 
Haaaaa ngoja akusikie...mwenyewe kashasema uzee mwisho msata mjini kila mtu baby....anakula raha na mabebez...wa kuoa atakuwa yeye bwana....

Anajilazimisha ujana tu lakini ajue viungo vingine vikishazeeka vinazeeka moja kwa moja.
 
Uwanja wa taifa kila madudu yanaendaga kufanyika kule sujui hii nchi wameamua vp kuhusu huu uwanjwa watakuja kufanyia hadi upuuz ambao haufai kule duhhh
 
Back
Top Bottom