Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

hata online ataanzisha pia.. yeye ameamua kuanzia za on air.... dogo nachomsifu ana vision na anatoa ajira kwa wenzake... hivi bila diamond kina iyobo, kifesi, lizer mwarabu fighter na wengine kibao wangekuwa wapi?


 
huyo atafungua online radio na tv kama millard ayo. sio ile ya kurusha frequency kabisa.
 
Anajimaliza, huwezi fanya kila kitu mwenyewe ufanisi lazima upungue
angeacha wengine wamtangaze I can smell a downfall.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…