hata online ataanzisha pia.. yeye ameamua kuanzia za on air.... dogo nachomsifu ana vision na anatoa ajira kwa wenzake... hivi bila diamond kina iyobo, kifesi, lizer mwarabu fighter na wengine kibao wangekuwa wapi?
Basi kama hivyo amiliki online radio na sio hizi za kawaida ...mimi nina marafiki wana radio wengi wanataka kufunga ,haziwalipi ...especially na hizi faini za TCRA ikitokea bahati mbaya tu umetoa content ambayo hawaitaki wanapiga faini hadi milioni 100 ambao ni mtaji wa radio ...huku ni kuuwa njaa waandishi na wamiliki