Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
hamna ela au hauna ela... fanya kazi ndg. majungu sio mtaji... watu wana fanya kazi, wewe una miaka nane katika kuajiriwa au kuajiri? wenzio wana miaka zaidi ya hiyo na wanasonga na wengine wana gombania kuingia huko huko ulipo shindwa wewe...
 
Sawa
 
Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
kuwa kwenye biashara kwa muda mrefu hakuna maana unajua kila kitu.Inawezekana muda wote huo ulikuwa umekosea target.kitu cha muhimu ni quality and not quantity.Ni kama kuna jamaa yangu mmoja alikuwa na mke kibonge na yeye na kibamia chake kila siku alikuwa anafikiri anakiingiza kwenye mahali usika kila siku katika miaka yao mitano ya ndoa bila mtoto kumbe kitu kilkuwa kinaishia juu ya kitumbua
 
atakuwa anarusha matangazo from zenji
sijajua ila nikama azam alivyo sajiri nchi za nje lakini wanafanya shughuli zao TZ, nazani hata Clouds pia wamesajiri Dubai na kufanya shughuli zao hapa TZ, na zile washirika wa clouds coconut fm zilizopo zenji...

nazani wanajaribu kuepuka sheria ambazo wanaziona kandamizi ili wao wapate faida zaidi... ule ni usajiri tu hivyo ana ruhusiwa kuja kuwekeza huku bara... kama kampuni iliyo sajiriwa zenji

ukitaka kuingia ktk biashara lazima usome mazingira yake, ukutane na wanasheria na washauri pia... kuna ndugu alikuwa na uzoefu wa miaka nane katika media, nazani alifeli kwakuwa hakushirikisha wengine...

hii ni biashara na local channels ni bure, sasa nazani amejaribu kukimbia mtego wa local channels kama walivyo azam walivyo kimbia huo mtego wao...
 
Kama ni pesa naona hapa Domo atapiga hela,,maana matangazo nahisi yatamiminika sana ndani ya muda mfupi tu,kama nawaona cocacola,red tomato cjui,dstv,fastjet,vodacom,tigo kwa mbali,namengine..
 
[emoji1] duh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…