Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
SawaHata kuandika hujui... Alafu unatoa investment advice kwa waliokuacha kiuchumi.... Mweeeeeehhh yebabaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHata kuandika hujui... Alafu unatoa investment advice kwa waliokuacha kiuchumi.... Mweeeeeehhh yebabaaaa
hamna ela au hauna ela... fanya kazi ndg. majungu sio mtaji... watu wana fanya kazi, wewe una miaka nane katika kuajiriwa au kuajiri? wenzio wana miaka zaidi ya hiyo na wanasonga na wengine wana gombania kuingia huko huko ulipo shindwa wewe...Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
Sawahamna ela au hauna ela... fanya kazi ndg. majungu sio mtaji... watu wana fanya kazi, wewe una miaka nane katika kuajiriwa au kuajiri? wenzio wana miaka zaidi ya hiyo na wanasonga na wengine wana gombania kuingia huko huko ulipo shindwa wewe...
kuwa kwenye biashara kwa muda mrefu hakuna maana unajua kila kitu.Inawezekana muda wote huo ulikuwa umekosea target.kitu cha muhimu ni quality and not quantity.Ni kama kuna jamaa yangu mmoja alikuwa na mke kibonge na yeye na kibamia chake kila siku alikuwa anafikiri anakiingiza kwenye mahali usika kila siku katika miaka yao mitano ya ndoa bila mtoto kumbe kitu kilkuwa kinaishia juu ya kitumbuaVery wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
sijajua ila nikama azam alivyo sajiri nchi za nje lakini wanafanya shughuli zao TZ, nazani hata Clouds pia wamesajiri Dubai na kufanya shughuli zao hapa TZ, na zile washirika wa clouds coconut fm zilizopo zenji...atakuwa anarusha matangazo from zenji
Wakikujibu ni tag.itakuwa kwenye kizimbuzi gani
azam?!
zuku!?
ting!?
[emoji1] duh!!kuwa kwenye biashara kwa muda mrefu hakuna maana unajua kila kitu.Inawezekana muda wote huo ulikuwa umekosea target.kitu cha muhimu ni quality and not quantity.Ni kama kuna jamaa yangu mmoja alikuwa na mke kibonge na yeye na kibamia chake kila siku alikuwa anafikiri anakiingiza kwenye mahali usika kila siku katika miaka yao mitano ya ndoa bila mtoto kumbe kitu kilkuwa kinaishia juu ya kitumbua
Hana uwezo huo badoMchukue MILARD AYOO
tv yako ilikuwa inaitwaje braza?Very wrong investment. Tv kwa sasa hazina ela. I have been katika hii soko for 8 years. No money kwa sasa, labda after 2025
Da mange kashikilia msimamo wake tv ni ya kusaga kaanzisha ili kuiua clouds ili amkomoshe rugeDa Mange anasemaje?
Da mange kashikilia msimamo wake tv ni ya kusaga kaanzisha ili kuiua clouds ili amkomoshe rugeDa Mange anasemaje?